K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 May 15, 2024 #61 Kwao anaweza fanya hivyo Lazima mama wa watu kaparangishwa kwa mparange mbele tu asingelia hivyo
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 7,557 Reaction score 20,477 May 15, 2024 #62 HAPO NDO UTAAMINI PESA INAONGEA KULIKO MZARAMO
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 May 15, 2024 #63 mrangi said: Wabulgaria mafia sana,sana sana hao wanaojishugulisha makamali...wanakuwaga na mambo ya kishenz sana Ova Click to expand... Watu wa Ulaya mashariki mafia sana, hawana tofauti na walatino. Siyo wa kuwakaribisha kama wawekezaji.
mrangi said: Wabulgaria mafia sana,sana sana hao wanaojishugulisha makamali...wanakuwaga na mambo ya kishenz sana Ova Click to expand... Watu wa Ulaya mashariki mafia sana, hawana tofauti na walatino. Siyo wa kuwakaribisha kama wawekezaji.
F farasi6453 Senior Member Joined Sep 26, 2022 Posts 100 Reaction score 101 May 16, 2024 #64 mrangi said: Wabulgaria mafia sana,sana sana hao wanaojishugulisha makamali...wanakuwaga na mambo ya kishenz sana Ova Click to expand... Ndiyo wawekezaji hao!
mrangi said: Wabulgaria mafia sana,sana sana hao wanaojishugulisha makamali...wanakuwaga na mambo ya kishenz sana Ova Click to expand... Ndiyo wawekezaji hao!