KERO Mkurugenzi Garda World jitafakari, wafanyakazi tumekuchoka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

SGA Security yupo GGML ana huduma safi na huwezi kusikia mfanyakazi akilalamika na juzi wameongezewa mshahara kwahiyo GARDAWORLD nikampuni lakipumbavu.
 
Ni kweli kwenye kikao mliwawekea spika? Mkawa mnaongea nao bila kuwaona? Kwa kauli yako tu hapa ni dhahiri mna shida
Mimi sio msemaji wa kampuni. Uzi wangu unahusu ajira kwa wale wanaohitaji na si kuanza kujadili mambo ya kampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…