KERO Mkurugenzi Garda World jitafakari, wafanyakazi tumekuchoka

KERO Mkurugenzi Garda World jitafakari, wafanyakazi tumekuchoka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kampuni haina kiongozi anaeitwa LUQMAY na simjui ni nani. Kingine kampuni haimlazimishi mtu kufanya kazi unaweza uka resign ukaenda huko G3S na
Kampuni haina kiongozi anaeitwa LUQMAY na simjui ni nani. Kingine kampuni haimlazimishi mtu kufanya kazi unaweza uka resign ukaenda huko G3S na SGx
Mjitafakari mna ujinga mwingi sana Viongozi wa GARDAWORLD alafu hamtumii akili bali mnatumia matako yenu , ninawaona walinzi wenu wanavyoteseka hapo GGML na bado ni sub contractor ,kuna mmoja alijinyonga baada yakukwaruzana na kiongozi wake alivyokuja kumtembelea , shida yenu mnaajiri urefu na lasaba ambao hawana maarifa, kuongoza watu wanatumia nguvu nyingi , kibaya zaidi wanalipwa pesa ndogo sana .

SGA Security yupo GGML ana huduma safi na huwezi kusikia mfanyakazi akilalamika na juzi wameongezewa mshahara kwahiyo GARDAWORLD nikampuni lakipumbavu.
 
Back
Top Bottom