Mkurugenzi KADCO: Ndege ilibeba watalii

We acha mbwembwe una habari kuwa kuna eneo ndani ya nchi ukiingia unapokea text kuwa uko UAE ? Kudeal na waarabu lazima watanzania tukomaze mishipa ,hawa jamaa wanawahonga hata wabunge wa AU sembuse watu wetu ambao ni matatizo ukoo mzima
 
Shida zaidi inakuja pale ambapo msemaji anaongea vya kwake, waziri na yeye anaongea vyake, mkugenzi na yeye anaongea ya kwake sasa huoni kama kuna shida pahala
 
We acha mbwembwe una habari kuwa kuna eneo ndani ya nchi ukiingia unapokea text kuwa uko UAE ? Kudeal na waarabu lazima watanzania tukomaze mishipa ,hawa jamaa wanawahonga hata wabunge wa AU sembuse watu wetu ambao ni matatizo ukoo mzima
Inaonekana bwana semtawa hajui hilo..!! Loriondo iliuzwa enzi hizo. Gazeti la kwanza kuripoti jambo hilo lilifungiwa na mwenye gazeti kuuwawa (RIP Stan Katabalo)
 
Watalii kwenye ndege ya mizigo tena, mmhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ