Mkurugenzi KADCO: Ndege ilibeba watalii

Mkurugenzi KADCO: Ndege ilibeba watalii

Nimefuatilia huu mkutano kupitia zoom. Nilijuta kwa nini sikuweka link. Niliwasikia na kuwaona viongozi akiwemo Mhe. Waziri Balozi Pindi. Ukweli kuna mageuzi makubwa sekta ya utalii, ambapo kuondoa usumbufu kwa watalii zipo ndege zinaweza kutua karibu na viwanja vya ndege karibu na hifadhi au ndani. #Tatizo walichelewa kutoa ufafanuzi. Ila nawapongeza mno Watch Tanzania kuandaa mkutano wa leo. Tutafute taarifa sahihi kabla ya kuongea humu🙏🙏🙏
We acha mbwembwe una habari kuwa kuna eneo ndani ya nchi ukiingia unapokea text kuwa uko UAE ? Kudeal na waarabu lazima watanzania tukomaze mishipa ,hawa jamaa wanawahonga hata wabunge wa AU sembuse watu wetu ambao ni matatizo ukoo mzima
 
Screenshot_20230115-001414.png
 
Shida zaidi inakuja pale ambapo msemaji anaongea vya kwake, waziri na yeye anaongea vyake, mkugenzi na yeye anaongea ya kwake sasa huoni kama kuna shida pahala
 
We acha mbwembwe una habari kuwa kuna eneo ndani ya nchi ukiingia unapokea text kuwa uko UAE ? Kudeal na waarabu lazima watanzania tukomaze mishipa ,hawa jamaa wanawahonga hata wabunge wa AU sembuse watu wetu ambao ni matatizo ukoo mzima
Inaonekana bwana semtawa hajui hilo..!! Loriondo iliuzwa enzi hizo. Gazeti la kwanza kuripoti jambo hilo lilifungiwa na mwenye gazeti kuuwawa (RIP Stan Katabalo)
 
Back
Top Bottom