Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We acha mbwembwe una habari kuwa kuna eneo ndani ya nchi ukiingia unapokea text kuwa uko UAE ? Kudeal na waarabu lazima watanzania tukomaze mishipa ,hawa jamaa wanawahonga hata wabunge wa AU sembuse watu wetu ambao ni matatizo ukoo mzimaNimefuatilia huu mkutano kupitia zoom. Nilijuta kwa nini sikuweka link. Niliwasikia na kuwaona viongozi akiwemo Mhe. Waziri Balozi Pindi. Ukweli kuna mageuzi makubwa sekta ya utalii, ambapo kuondoa usumbufu kwa watalii zipo ndege zinaweza kutua karibu na viwanja vya ndege karibu na hifadhi au ndani. #Tatizo walichelewa kutoa ufafanuzi. Ila nawapongeza mno Watch Tanzania kuandaa mkutano wa leo. Tutafute taarifa sahihi kabla ya kuongea humu🙏🙏🙏
Shida zaidi inakuja pale ambapo msemaji anaongea vya kwake, waziri na yeye anaongea vyake, mkugenzi na yeye anaongea ya kwake sasa huoni kama kuna shida pahalaNimefuatilia huu mkutano kupitia zoom. Nilijuta kwa nini sikuweka link. Niliwasikia na kuwaona viongozi akiwemo Mhe. Waziri Balozi Pindi. Ukweli kuna mageuzi makubwa sekta ya utalii, ambapo kuondoa usumbufu kwa watalii zipo ndege zinaweza kutua karibu na viwanja vya ndege karibu na hifadhi au ndani. #Tatizo walichelewa kutoa ufafanuzi. Ila nawapongeza mno Watch Tanzania kuandaa mkutano wa leo. Tutafute taarifa sahihi kabla ya kuongea humu🙏🙏🙏
Utakuta Huyo Mkurugenzi Ana Masters Halafu Anajibu HivyoMtalii hawezi kupanda kwenye NDEGE ya mizigo huu ni utetezi WA mwaka 47 kila MTU anajua kinachoendelea
Inaonekana bwana semtawa hajui hilo..!! Loriondo iliuzwa enzi hizo. Gazeti la kwanza kuripoti jambo hilo lilifungiwa na mwenye gazeti kuuwawa (RIP Stan Katabalo)We acha mbwembwe una habari kuwa kuna eneo ndani ya nchi ukiingia unapokea text kuwa uko UAE ? Kudeal na waarabu lazima watanzania tukomaze mishipa ,hawa jamaa wanawahonga hata wabunge wa AU sembuse watu wetu ambao ni matatizo ukoo mzima
Wanatuona watanzania hatuna akili, viongozi wetu ni waongo sanaMmhh ukiona lugha gongana namna hiyo ujue kabisa kuna kitu huko nyuma ya pazia
kabisa yaaniVifaa mara watalii yote yanini hakuna mtu atayekuja huko kukunjana mashati hamna haja ya kutenda dhambi ya kundanganya
Hahahaha 🤣🤣🤣 kweli kabisa!!!!!Waziri na mkurugenzi mngekaa pamoja mkapanga uwongo mmoja., Badala ya kilq mtu kuja na uwongo wake