Trump ya ching chong
Member
- May 31, 2024
- 42
- 38
Katiba mpya ndio suluhisho, wakurugenzi wa halmashauri na manispaa ni kero kubwa Kwa watumishi wa ummaKichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi.
Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi kesho tarehe moja asubuhi na mapema akiwa na jembe au fyekeo asimlaumu mtu kwa kitakacho mkuta. Sasa sisi kama watumishi tunahoji je hii ni haki? Manyanyaso haya yataisha lini kwetu?
Je, tusipoenda na ukizingatia ni siku ambayo si ya kazi hatua zitakazochukuliwa dhidi yetu si ni maonezi?
Kama una uwezo wa kutusemea ngazi za juu tunaomba msaada wako maana baadhi ya shule zimefunga leo je? Kesho ni halali au ni unyanyasaji kwetu watumishi kwanini wasitumie mapato ya ndani kusafisha sehemu hiyo?Inasikitisha sana
Mkuu tunateseka sana tangu huyu dada aletwe hapa kutoka sameKuu....
Tumesafisha jumamosi iliyopita akasema tumefika wachache anataka turudie jumamosi ya kesho pia mkuu. Je? Hata kama ni jumamosi ya usafi ni utaratibu watumishi kwenda kusafisha makaburi bila kujali nauli tunapata wapi? Yaani ni amri saa 12 ufike bila kujali umbali unaotokea hii ni haki kweli?Si ni jimamosi ya usafi hiyo?
Hata kama mtu ni kichaa au hana akili ni sahihi kumtoa kilomita 17 kutoka msandaka sekondari hadi redstone yalipo makaburi kwenda na kurudi bila kumpa nauli yoyote ile?Kama watumishi hawana akili.. Afayaje sasa. 🤒🤒
Mimi nilishawahi kushauri kiundwe chama cha wasio na ajira rasmi wenye uchungu ile hawa waramba asali waondolewe hawana uchungu na rasilimali watu au rasilimali zetuYan ndiyo kiongozi kafikiri hapo hadi mwisho? Watumishi kazi wanayo. Aje atuambie sisi bodaboda ambao hatuna D mbili atapata majibu.
Kazi yao ni kunyanyasa watumishi na kukamua kodi za akina mama wafanyabiashara wadogo wadogo na kuwaacha wafanyabiashara wakubwa wakitorosha rasilimali za TaifaKatiba mpya ndio suluhisho, wakurugenzi wa halmashauri na manispaa ni kero kubwa Kwa watumishi wa umma
Mamaaaa....Kuu....
Na ukiuliza unatishiwa kufukuzwa kazi afu uhamishwe kwenda mazingira magumu ya kaziViongozi wengi hasa wale wa kuteuliwa hawana uwezo wa kuongoza. Not at all "visionary leader ". Utamlazimishaje mfanyakazi afanye kitu ambacho hakipo kwenye mkataba? Shame on you!
Tulifanya kwa upendo jumamosi iliyopita tukakalipiwa na kutishiwa kwamba hatujaja kwa wingi tunamtania mkurugenzi sasa hiyo kesho ni lazima tunaomba kupaziwa sauti watumishi wa manispaa ya moshiHao watumishi wakikubali wajue watafanyiwa mabaya zaidi ya hayo.