Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msipokataa unyonge mtaendelea kunyanyaswa na wanaokaa kwenye viyoyozi!Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi.
Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi kesho tarehe moja asubuhi na mapema akiwa na jembe au fyekeo asimlaumu mtu kwa kitakacho mkuta. Sasa sisi kama watumishi tunahoji je hii ni haki? Manyanyaso haya yataisha lini kwetu?
Je, tusipoenda na ukizingatia ni siku ambayo si ya kazi hatua zitakazochukuliwa dhidi yetu si ni maonezi?
Mkurugenzi ameota mapembeKichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi.
Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi kesho tarehe moja asubuhi na mapema akiwa na jembe au fyekeo asimlaumu mtu kwa kitakacho mkuta. Sasa sisi kama watumishi tunahoji je hii ni haki? Manyanyaso haya yataisha lini kwetu?
Je, tusipoenda na ukizingatia ni siku ambayo si ya kazi hatua zitakazochukuliwa dhidi yetu si ni maonezi?
Ndio maana kwa sasa kazi ya ualimu inadharaulika sana tofauti na kipindi cha nyuma!Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi.
Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi kesho tarehe moja asubuhi na mapema akiwa na jembe au fyekeo asimlaumu mtu kwa kitakacho mkuta. Sasa sisi kama watumishi tunahoji je hii ni haki? Manyanyaso haya yataisha lini kwetu?
Je, tusipoenda na ukizingatia ni siku ambayo si ya kazi hatua zitakazochukuliwa dhidi yetu si ni maonezi?
Mkataba wao wa ajira unaruhusu kufanya hayo.Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi.
Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi kesho tarehe moja asubuhi na mapema akiwa na jembe au fyekeo asimlaumu mtu kwa kitakacho mkuta. Sasa sisi kama watumishi tunahoji je hii ni haki? Manyanyaso haya yataisha lini kwetu?
Je, tusipoenda na ukizingatia ni siku ambayo si ya kazi hatua zitakazochukuliwa dhidi yetu si ni maonezi?
Easy,easy boss ya mboka!😎🙏Nisamehee kiongozi nimesoma comment yako nimeelewa zaidi kuelewa, umetumia irony kuna andiko nimeandika kuhusu wamama wauza nyanya kulazimishwa kuuzia nyanya maghorofani na wauza pombe za kienyeji kulazimishwa kupima afya kwa elfu kumi huku hawapewi risiti katika moja ya halmashauri hapa njini je hayo mapato yanaenda wapi?
Hiyo kazi ni ya kuacha tu, bora kuwa jobless..hamna kazi hapo!Ndio maana kwa sasa kazi ya ualimu inadharaulika sana tofauti na kipindi cha nyuma!
Hamna kazi hapo mkuu! Walimu wenyewe njaa kibao, madeni Kila konaHiyo kazi ni ya kuacha tu, bora kuwa jobless..hamna kazi hapo!
Mimi mke wangu alikuwa anafanya hiyo kazi, nimemwambia akae tu nyumbani alee watoto, hayo marupurupu wanayolipwa nitakuwa namlipa kila mwezi.Hamna kazi hapo mkuu! Walimu wenyewe njaa kibao, madeni Kila kona
Mwalimu huwa hayupo likizo shule ikifungwaKama una uwezo wa kutusemea ngazi za juu tunaomba msaada wako maana baadhi ya shule zimefunga leo je? Kesho ni halali au ni unyanyasaji kwetu watumishi kwanini wasitumie mapato ya ndani kusafisha sehemu hiyo?
Mkurugenzi wa Zama gani huyu, ana elimu gani? Ndugu wa waliozikwa hapo hawajulikani ili waende kuyafanyia usafi?Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi.
Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi kesho tarehe moja asubuhi na mapema akiwa na jembe au fyekeo asimlaumu mtu kwa kitakacho mkuta. Sasa sisi kama watumishi tunahoji je hii ni haki? Manyanyaso haya yataisha lini kwetu?
Je, tusipoenda na ukizingatia ni siku ambayo si ya kazi hatua zitakazochukuliwa dhidi yetu si ni maonezi?
Tumesafisha jumamosi iliyopita akasema tumefika wachache anataka turudie jumamosi ya kesho pia mkuu. Je? Hata kama ni jumamosi ya usafi ni utaratibu watumishi kwenda kusafisha makaburi bila kujali nauli tunapata wapi? Yaani ni amri saa 12 ufike bila kujali umbali unaotokea hii ni haki kweli?