KERO Mkurugenzi Manispaa ya Moshi awalazimisha watumishi kufyeka na kusafisha makaburi ya Karanga siku za mapumziko

KERO Mkurugenzi Manispaa ya Moshi awalazimisha watumishi kufyeka na kusafisha makaburi ya Karanga siku za mapumziko

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Fanyeni mazoezi ndugu watumishi.Mnachoma kaloriz kidogo na kubadilishana namba za simu kudumisha uhusiano mwema.Tena mfyeke na kupalilia kwa kiherehere hadi apate sonona.
NB;Uongozi siyo unyampala.Kuna masaa baada ya kazi/kustaafu mtaonana tu.Sisi ni pipo!
Nilikuwa nakuheshimu sana kabla ya hii comment broo unajua ndani ya manispaa kufika hapo kuna baadhi ya watumishi ni kilometa hadi 17 kumi na saba sasa kwa mguu atatoka sangapi kwake, au unataka vibaka wamkabe
 
U
Hapo ndo ujue kama una mtoto shule za ssrikali imekula kwako reasoning ya mwanao itakuwa chini zaidi yetu labda ajitambue yeye binafsi
Uoga wa kukosa ajira unawafanya muonekane reasoning yenu ipo chini.
Mnaweza kugoma na kumshitaki mkurugenzi mkashinda kesi.
 
Nilikuwa nakuheshimu sana kabla ya hii comment broo unajua ndani ya manispaa kufika hapo kuna baadhi ya watumishi ni kilometa hadi 17 kumi na saba sasa kwa mguu atatoka sangapi kwake, au unataka vibaka wamkabe
Wewe anza kutokuniheshimu tu kwa sababu kila ninachokiandika unapaswa kukisoma kwa umakini sana kabla haujatoa hitimisho lako.Vamos amigos!😎
 
Mkurugenzi anakusanya mapato atumie kuweka vibarua wa kufanya hiyo kazi.
La sivyo atoe amri wakazi wote wa Moshi wakafanye huo usafi.
Haki yenu ya mapumziko iko wapi? Mkataba wenu wa ajira na majukumu yenu kazi hiyo ipo?
Una akili sana braza
 
Ufala huuuuuuuuuuuuu.......... Katika Dunia ya ubepari huwez kufanya kituko hiki
 
Fanyeni mazoezi ndugu watumishi.Mnachoma kaloriz kidogo na kubadilishana namba za simu kudumisha uhusiano mwema.Tena mfyeke na kupalilia kwa kiherehere hadi apate sonona.
NB;Uongozi siyo unyampala.Kuna masaa baada ya kazi/kustaafu mtaonana tu.Sisi ni pipo!
Nisamehee kiongozi nimesoma comment yako nimeelewa zaidi kuelewa, umetumia irony kuna andiko nimeandika kuhusu wamama wauza nyanya kulazimishwa kuuzia nyanya maghorofani na wauza pombe za kienyeji kulazimishwa kupima afya kwa elfu kumi huku hawapewi risiti katika moja ya halmashauri hapa njini je hayo mapato yanaenda wapi?
 
Huyu hata akiombwa naniliu inaonekana anaogopa kukataa...
Sikujibu dada una mchango mkubwa sana hapa JF kwenye maisha yangu.
Nilipofika moshi nilifichua kundi la ushoga lilikuwa linaitwa MOSHI BROTHERS lilikuwa na makao makuu red stone tena walikuwa na pesa walikuwa wanaingiziwa pesa na mashirika makubwa siyo heshima kuyataja. Nilikuwa simpendi magufuli ila kwa hili nilimpenda sana kundi lilisambaratishwa ila bado linaota mizizi pale MARANGU GETINI
 
Yaani hapo ndio mwisho wake wa kufikiri, wakati nchi imejaa wafungwa kibao wanaweza wakafanya shughuli kama hizo.
Hii nchi inakisa viongozi wabunifu sjui kwanini aiseee..
 
Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi.

Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi kesho tarehe moja asubuhi na mapema akiwa na jembe au fyekeo asimlaumu mtu kwa kitakacho mkuta. Sasa sisi kama watumishi tunahoji je hii ni haki? Manyanyaso haya yataisha lini kwetu?

Je, tusipoenda na ukizingatia ni siku ambayo si ya kazi hatua zitakazochukuliwa dhidi yetu si ni maonezi?

Hivi viongozi kama hawa hizi akili wanazitoa wapi?
 
Back
Top Bottom