KERO Mkurugenzi Manispaa ya Moshi awalazimisha watumishi kufyeka na kusafisha makaburi ya Karanga siku za mapumziko

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Shule niliyosoma A level ipo kando ya barabara kuu ya TANROADS, sasa kuna siku mwalimu wa mazingira akavuta bangi akasema waliokawia kuripoti(wazee wa kuvuta) watapewa adhabu ya kufyeka majani. Katika kugawa maeneo akataka tufyete mpaka barabarani kabisa, nilipofikia zile nguzo za TANROADS tu nikaweka kwanja pembeni, wenzangu wakaanza kunisihi ntafukuzwa shule nifyeke tu nikawaambia kama shule ni ya TANROADS sawa, yule mwalimu alijenga bifu na mimi akanitafuta kila engo, mwisho wa siku akanipeleka kwa mkuu akichochea niwe suspended, mkuu aliposikiliza akamuona mwalimu wake boya.
So be positive make a change for your self, huwezi kufukuzwa kazi kwa ujinga kama huo.
 
Msipokataa unyonge mtaendelea kunyanyaswa na wanaokaa kwenye viyoyozi!

Haki haitolewi, inadaiwa. Usipokukuruka utapuuzika!
 
Mkurugenzi ameota mapembe
 
Huko Moshi sijui mmebakia kizazi cha aina gani?

Moshi ya zamani watu tulipenda sana kufanya usafi hata bila kubandikiwa matangazo
 
Ndio maana kwa sasa kazi ya ualimu inadharaulika sana tofauti na kipindi cha nyuma!
 
Mkataba wao wa ajira unaruhusu kufanya hayo.

Tz kuna mazuzu
 
Easy,easy boss ya mboka!😎🙏
 
Mkurugenzi wa Zama gani huyu, ana elimu gani? Ndugu wa waliozikwa hapo hawajulikani ili waende kuyafanyia usafi?
 
Mkuu usiende toa taarifa una uguliwa
 
Mkuu usiende toa taarifa una uguliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…