TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini


Je, umeshamaliza Kutudanganya au bado labda unataka kuendelea Kutudanganya Ndugu?
 

They have done nothing new for the benefits of an economic development in our country.
 
They have done nothing new for the benefits of an economic development in our country.

Can you develop Economically without strengthening first your Security, so that you can be assured of peace that attracts so many Investors in your Country? Please have great respect to our beloved Tanzanian Spymasters, because without their efforts and commitment I don't think that you will be free as you're at the moment while most of your neighbors are fighting, killing and terrorize themselves.
 
Je Usalama gani unaozungumzia wewe?
Investors gani unsozungumzia wewe? Foreign investors??
Daima maendeleo ya kweli huwa ktk nchi huwa yanaletwa NA wananchi wazawa, siyo wawrkezaji WA kigeni ambao wewe unawafikiria. Mjenga nchi Ni mwananchi NA mvunja nchi Ni mwananchi mwenyewe.
Maendeleo ktk nchi zote zilizoendelea nimeona yametokana NA wananchi wake wazawa, Lakini siyo wawekezaji WA kigeni.Hili nimethibitiaha Mimi mwenyewe KWA macho yangu ktk nchi kadhaa nilizowahi kuzuru hapa duniani.

Kwangu Mimi, Spymaster WA ukweli Ni yuke ambaye amefanya juhudi kubwa zaidi za Ujasusi KWA Maslahi mapana ya Kiuchumi ya watu wa nchi yake NA nchi take KWA ujumla.Huyo Mimi ndio naweza nikamwita Spymaster.

Nikuulize swali, hawa wote waliotajwa kuwa Ni ex-spymasters wameacha "legacy" gani ya maendeleo ya Kiuchumi ktk nchi ya Tz ??????
 

Kumbe na Kiswahili unakijua vyema tu. Sasa kwanini ulikuwa ' umeshoboka ' kuniandikia kwa ' Kiingereza ' ile ' post ' yako ya awali? Miswahili bhana!
 
Hahahaha, Oysterbay Primary school hii nini
Majirani wa nyumbani Obay hawa, watoto waliosoma Obay eighties na nineties wamefundishwa na kina Mrs. Mwang'onda na Mrs. Mihayo.

Enzi hizo Mzee Apson akiishi pale kona ya Hill Rd. na Msasani Rd. karibu na uwanja wa kuoshea mbwa pale ilipokuwa Norconsult.

Maisha yamepita kama upepo, zimebaki habari zake sasa.
 
Jamaa wewe tunaweza tukawa tunafahamiana kabisa. Kwa uchambuzi huu
 
Marehemu alikuwa CHAIN smoker wa miongo mingi!!! Highly likely kuwa ndio zilizo muathili!!!

Mkwere ni lazima alie sana kwani huyu ndiye aliyemuwuweka madarakani!!
Ni stress za kazi ndiyo zilimfanya kuvuta sigara hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…