Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Umesema Lissu alipigwa risasi na nani vile? RIP mkuu
Na lisu naye kaenda? rip wote wawili!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema Lissu alipigwa risasi na nani vile? RIP mkuu
Asiyejulikana kakutana na asiyejulikana mkuu ibilisi shetani, mungu (SIO Mungu) amlaze anapostahiliMkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Apson Mwang’onda (75), amefariki dunia leo Oktoba 7, nchini Afrika Kusini alikokuwa anatibiwa, familia yake imethibitisha.
View attachment 1226052Pia soma
Rais Magufuli akimjulia hali Apson Mwang'onda hospitalini enzi za uhai wake
Apson: The Beginning of TISS's Failure
Tunapozungumzia idara ya Usalama wa Taifa na jinsi imeiangusha serikali yetu na kuweka usalama wa taifa letu hatarini nafasi ya Bw. Apson Mwang'onda haiwezi kupuuzwa. Baadhi ya matukio yaliyotokea na kuruhusu ufisadi nchini yalitokea wakati wa "ulinzi" wake na hatujui ni kwa kiasi gani...www.jamiiforums.com
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda amefariki dunia leo Oktoba 7, 2019 nchini Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu
Kwa miaka kadhaa Idar ya Usalama wa Taifa iliongozwa na vigogo kadhaa waliobobea katika masuala la Ulinzi na Usalama wakiwamo; Emir Mzena, Lawrance Gama, Hans Kitine ambapo alipoondoka nafasi hiyo ilikamatwa na Dk. Augustine Mahiga.
Mbali na hao nafasi hiyo ilishikiliwa pia na Amrani Kombe, Apson Mwang’onda, Rashid Othman, Dkt Kipilimba na Bwana Diwani Athumani
Hata ukumtakia mema mtu mwovu ataenda motoi tu , ndio maana tunamtakia alazwe anapostahili, Mungu ndio anajuaMtu ameshafariki halafu nawe tena ' Unamsimanga ' hapa je, umeambiwa kuwa ' Maiti ' huwa inasikia? Miswahili bhana!
Kwani Alikua na urafiki na membe?
hapana hakuwa yeye alikuwa aliefuatana na kipilimbaNdiyo alikuwa mkurugenzi enzi zile Dr. Ulimboka alipotekwa na kuokotwa msitu wa Mabwepande akiwa yuko hoi bin taaban?
Tunamtakia kila la heri huko aendako.
Afrika Kusini alipelekwa Na familia? Kwanini familia ithibitishe kifo cha Mtendaji Mkuu wa idara ya serikali? Taarifa hiyo Ina ukweli gani?
sawa pia mimi napitia humo, jaribu kupitia hata hapa, unaweza pitwa na jambo muhimu sana mkuu.kumbe wewe ni fellow bussisnessman like me, hongera sana,kuwa na siku jemaMkuu nipo sana tu sema siku hizi nimehamia kule jukwaa la intelijensia, elimu na jukwaa la biashara!! kwenye siasa napita pita japo si kiivo!!
Alikuwa na urafiki mkubwa na mamnvi.Kwamba Membe ndio kamuua au?
Kila anayeenda kujuliwa hali na shetani lazima aondoke sijui kwanini?View attachment 1226028![]()
RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA USALAMA WA TAIFA, APSON MWANG'ONDA ANAYETIBIWA DAR
The Habari Uhakikathehabarii.blogspot.com
Unamaanisha ule wimbo wa Tuna imani na.....Labda wenzetu wanatengeneza historia mpya; Apson anahusika na mambo fulani... kwa tunaokumbuka
Ni Chadema tu ndo hufa CCM eti wataishi mileleDuniani tunapita tu!!
Tutarajie siasa msibani.
Marehemu alikuwa CHAIN smoker wa miongo mingi!!! Highly likely kuwa ndio zilizo muathili!!!
Mkwere ni lazima alie sana kwani huyu ndiye aliyemuwuweka madarakani!!
Hahahaha, Oysterbay Primary school hii niniRambirambi kwa mwalimu Mrs. Apson Mwang'onda, Thomas Mwang'onda na familia.