balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Hivi hakumfitini Laigwanani huo ,Pumzika mkuu mstaafu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hakumfitini Laigwanani huo ,Pumzika mkuu mstaafu...
Mkuu nipo sana tu sema siku hizi nimehamia kule jukwaa la intelijensia, elimu na jukwaa la biashara!! kwenye siasa napita pita japo si kiivo!!hi kiongozi ulipotea wapi, siku nyingi huonekani humo
Karma...kila jambo na mudaHivi hakumfitini Laigwanani huo ,
twambie mkuu legend!Labda wenzetu wanatengeneza historia mpya; Apson anahusika na mambo fulani... kwa tunaokumbuka
huyo anayerstisha watu in peace ni shetani ama na wewe ni mnyonge unimba pambio usizozijua?Kuna mahali nimemtaja Mungu; au unadhania nimemtaja Mungu?
Damu ya IMRAN KOMBE inawalilia watu, sijui nani ila zile risasi alizomiiniwa, mpaka kizazi cha 4Nenda kamsalimie Kombe naona mtapiga sasa story ilikuwaje mwili wake ukaokotwa kwenye mahindi kule Moshi. Jiandae kumpa jibu la uhakika.
Nimetoka kuusoma kuna nondo nzito sana.Moderator imefika wakati sasa huo uzi hapo chini kutoka kwa Mzee Mwanakijiji unaozungumzia uchafu wa Mwang'onda Ufunguliwe ili ajadiliwe kwa haki kutokana na matendo yake ili Mungu achukue hatua zinazostahili dhidi yake .
Natanguliza shukrani
Afrika Kusini alipelekwa Na familia? Kwanini familia ithibitishe kifo cha Mtendaji Mkuu wa idara ya serikali? Taarifa hiyo Ina ukweli gani?Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Apson Mwang’onda (75), amefariki dunia leo Oktoba 7, nchini Afrika Kusini alikokuwa anatibiwa, familia yake imethibitisha.
View attachment 1226052Pia soma
Rais Magufuli akimjulia hali Apson Mwang'onda hospitalini enzi za uhai wake
Apson: The Beginning of TISS's Failure
Tunapozungumzia idara ya Usalama wa Taifa na jinsi imeiangusha serikali yetu na kuweka usalama wa taifa letu hatarini nafasi ya Bw. Apson Mwang'onda haiwezi kupuuzwa. Baadhi ya matukio yaliyotokea na kuruhusu ufisadi nchini yalitokea wakati wa "ulinzi" wake na hatujui ni kwa kiasi gani...www.jamiiforums.com
Tys wastaafu na waliomo wanapuputika tu.
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania, Apson Mwang’onda amefariki dunia leo Oktoba 07, 2019 nchini Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu.View attachment 1226127
Hivi bobevu Jimmy yuko wapi siku hizi? Hasikiki. Sijui aliteuliwa DC au nimechanganya?Bila kmsahau jimmy nduguye tom