TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

Kawasaidia majangili, wezi, majambazi ya hela serikali namna ya kwenda kuzificha kwenye mabank ya nje, ufidi na upumbafu mwingi sana umetokea wakati akiwa kama boss wa TISS sijawahi kuona umuhimu wake kwenye ile ofisi, sijui hata alikuwa akifanya kazi gani ya kulinda nn,

Watu sampuli hii ndiyo wanao ifanya Tanzania iendelee kuwa top 5 ya poorest country in the world, alishindwa kuzuia wizi wa mali za uma, yaani aende kusema ukweli....
 
hivi mnakuwaga na roho ya ubinadamu kweli ninyi CCM?
acha unafki ndugu, utakufa mdomo wazi.
Tangu lini unatoa pole kwa kifo huko mnateka na kuua watu?
in hell
Ole wao... Naomba kuishia hapa...
 
Alale pahala alipojiandalia enzi za uhai na majukumu yake. Amen
 
Kwa hiyo kicheo huyu wa sasa Diwani Athumani ni kitukuu wa marehemu Apson Mwang'onda.
 
Rest In Peace Mzee Baba yake na Kaka tulikutana Mbeya siku moja
 
Huwa wanajisahau sana, badala ya kulinda usalama wa taifa wao wanalinda ushindi na wizi wa kura za upinzani

Mtu ameshafariki halafu nawe tena ' Unamsimanga ' hapa je, umeambiwa kuwa ' Maiti ' huwa inasikia? Miswahili bhana!
 
Back
Top Bottom