TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

Huwa wanajisahau sana, badala ya kulinda usalama wa taifa wao wanalinda ushindi na wizi wa kura za upinzani
Tunasikitika kwa kifo chake lakini,alishindwa kuibadili taasisi yake ili ilete mabadiliko stahiki ya kiasiasa na kiuchumi, huenda asingetangulia mapema,kama tungekuwa na hosipitali bora kuliko za Kule aliko kuwa anatibiwa,
 
.

Aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania, Apson Mwang’onda amefariki dunia leo Oktoba 07, 2019 nchini Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu.
 
Tunaomba utuwekee picha yake basi wengine hatumjui
Huyu
images(3).jpeg
 
R.I.P Mzee wetu Mwang'onda

Wewe ni mmoja kati ya watu wa mwisho mwisho mliokuwa mmepikwa mkaiva haswa.

Nisalimie sana Emilio Mzena na Jenerali Imrani Kombe!

Daima utakumbukwa.
Hawakuwa na msaada ndo maana hawakuweza kuiona kaanani
 
Back
Top Bottom