TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

Na wew Ni mhusika siyo bure otherwise mungu ampokee na amuweke mahala pema Mzee wetu
 
Marehemu alikuwa CHAIN smoker wa miongo mingi!!! Highly likely kuwa ndio zilizo muathili!!!

Mkwere ni lazima alie sana kwani huyu ndiye aliyemuwuweka madarakani!!
Kweli wew unamfahamu naamini hiyo nayo imechangia Sana
 
Nilirudi likizo, mimi ndiye nikaonekana mgeni viwanja vyangu.

Mzee Kimario alikuwa na basketball court, halafu ana bendi watu waliozibukia muziki wanapiga muziki.

Mzee poa sana.

The guy was an institution.
Hahahaha, nilikua nashinda sana pale kwake ktk basketball court, jioni tunaingia studio contena au kusikiliza gitaa la Mzee

Siku hz kule watu wote mko ulaya
 
Huyu Ni gentamycine kwa I'd mpya baada ya ile nyingine kula ban
 
Huyu Ni gentamycine kwa I'd mpya baada ya ile nyingine kula ban

Kwakuwa Wewe pengine labda ndiyo umempa hiyo BAN huyo sijui geta kama ulivyotuaminisha hapa je, unaweza ukatuambia labda ni lini utamfungulia au BAN yake hiyo uliyompa itamalizika ili basi aweze Kujumuika nasi hapa katika Mijadala hii yetu?
 
Joshua Opanga..chief of protocal enzi ya RIP Nyerere.
 
HAKIKA KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI na KILA MTU ATAUBEBA MSALABA WAKE MWENYEWE SIKU IKIFIKA......ewe binadamu yatafakari saana maneno hayo na ujuwe kifo kiko karibu yako saana kuliko nguo uliyoivaa
 
Rest in peace 🙏🏾
 
Ndio maisha yalivyo unavuma na kisha unatoweka. Hata uwe jeuri kiasi gani, hakuna kupona kwenye Kifo. Kitu cha msingi ni kujiandaa na kuishi vizuri duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…