TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

Ngwanakilala,
Habari nzito hii inastahili zaidi ya mstari mmoja wa habari. Rip Mzee Apson.

Ongeza taarifa kwa kutumia zile W5 + 1 H. Yaani lini, wapi msiba umetokea, mapito marehemu ktk utumishi wa umma, Jambo kubwa alilofanya kwa taifa n.k (Who, Where, When, What, Why and How)
Na wew Ni mhusika siyo bure otherwise mungu ampokee na amuweke mahala pema Mzee wetu
 
Marehemu alikuwa CHAIN smoker wa miongo mingi!!! Highly likely kuwa ndio zilizo muathili!!!

Mkwere ni lazima alie sana kwani huyu ndiye aliyemuwuweka madarakani!!
Kweli wew unamfahamu naamini hiyo nayo imechangia Sana
 
Nilirudi likizo, mimi ndiye nikaonekana mgeni viwanja vyangu.

Mzee Kimario alikuwa na basketball court, halafu ana bendi watu waliozibukia muziki wanapiga muziki.

Mzee poa sana.

The guy was an institution.
Hahahaha, nilikua nashinda sana pale kwake ktk basketball court, jioni tunaingia studio contena au kusikiliza gitaa la Mzee

Siku hz kule watu wote mko ulaya
 
Naona sasa umeamua rasmi Kuitaja Kazi yako ya ' Ushoga ' inayokuweka hapa Mjini kupitia Mabishano yako na Mimi ili Watu waweze Kukujua kwa haraka na wakutafute upesi ili ' Biashara ' ifanyike na Maisha yako yaende vinginevyo hapa Mjini patakuwa ni ' pagumu ' Kwako. Ni Matumaini yangu baada ya Kujitangaza Kwako hivi japo umezunguka mno Wateja wataanza Kumiminika Kwako kwa Kukutafuta. Naomba usisahau tu 10% yangu kwani tayari nimeshakutangazia Biashara.
Huyu Ni gentamycine kwa I'd mpya baada ya ile nyingine kula ban
 
Huyu Ni gentamycine kwa I'd mpya baada ya ile nyingine kula ban

Kwakuwa Wewe pengine labda ndiyo umempa hiyo BAN huyo sijui geta kama ulivyotuaminisha hapa je, unaweza ukatuambia labda ni lini utamfungulia au BAN yake hiyo uliyompa itamalizika ili basi aweze Kujumuika nasi hapa katika Mijadala hii yetu?
 
Pale Bongoyo, cross streets ni Mkwawa na Winding Ave. Viwanja vya wazee vile.

Kwa Mzee Lubuva mbele kidogo.

Mzee Kimario mpaka amefariki alikuwa anaandika kitabu cha "War Stories" nilikuwa namsihi Mfaume kitabu kichapishwe watu wapate habari.

Umenikumbusha mbali sana kwenye kiduka kile.

Kuna siku nimekaa na kichaa wangu Alpha Opanga pale, ananiambia ana bonge la project la kuweka vyoo vya kulipia Dar. Nikasema Alpha acha stories zako, hakuna kitu kama hicho. Baadaye kidogo, nakuja kukuta Dar kuna vyoo vile vile alivyovisema Alpha!

The sad thing was Alpha had nothing to do with that.
Joshua Opanga..chief of protocal enzi ya RIP Nyerere.
 
HAKIKA KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI na KILA MTU ATAUBEBA MSALABA WAKE MWENYEWE SIKU IKIFIKA......ewe binadamu yatafakari saana maneno hayo na ujuwe kifo kiko karibu yako saana kuliko nguo uliyoivaa
 
Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Apson Mwang’onda (75), amefariki dunia leo Oktoba 7, nchini Afrika Kusini alikokuwa anatibiwa, familia yake imethibitisha.

View attachment 1226052
Rais Magufuli akimjulia hali Apson Mwang'onda hospitalini enzi za uhai wake
Rest in peace 🙏🏾
 
Ndio maisha yalivyo unavuma na kisha unatoweka. Hata uwe jeuri kiasi gani, hakuna kupona kwenye Kifo. Kitu cha msingi ni kujiandaa na kuishi vizuri duniani.
 
Back
Top Bottom