TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

Mzee wetu apumzike kwa Amani apate raha ya Milele, Poleni Familia, Pole ya Kupoteza!
 
Mzee Apson ni mmoja kati ya watu Maghufuli aliwakubali na kuwasikiliza kwa ushauli

Ingekua Maghufuli hamkubali Mzee Apson unadhani Nape angeenda kumfata Mzee Apson ili akamuombee msamaa kwa Raisi?

Kwa taarifa yako DG mpya wa Usalama wa Taifa ni mkono wa Marehemu Apson
 
Kuna aina mbili za peer group pressure, NEGATIVE na POSTIVE wengi humu wanawachukia ama kuwapenda watu kwa kusikia maoni ya watu wengine huwa hawafanyi utafiti kujua upande mwingine ..huo ubaya wa Tiss tunaupima na uzuri intelligence agency ipi duniani isiyofanya wanyofanya Tanzania
 
Hivi mwili umeshaletwa na kuzikwa? Maana msiba umepoapoa sana utafikiri si kiongozi mtaafu wa Majasusi kafa.
 
Hivi mwili umeshaletwa na kuzikwa? Maana msiba umepoapoa sana utafikiri si kiongozi mtaafu wa Majasusi kafa.

Wameshazika jana huko Mbeya, wana Idara walizuia picha zisipigwe walitumia camera zao
 
Wameshazika jana huko Mbeya, wana Idara walizuia picha zisipigwe walitumia camera zao
Duuuu mbona kimya kimya sana? Mapokezi ya mwili na ibada mbalimbali na kuaga kitaifa haikuwepo? Kiongozi wa Kitaifa aliyewakisha ni nani? Daaah si kawaida hii. Ngoja nivute pumzi niunganishe historia.
 
Hivi bado hawajamaliza kupiga rangi nyumba utakapo pita msiba?
naona kimya sana au ziara ya mikoani ameharibu publicity ya hii msiba?
 
Duuuu mbona kimya kimya sana? Mapokezi ya mwili na ibada mbalimbali na kuaga kitaifa haikuwepo? Kiongozi wa Kitaifa aliyewakisha ni nani? Daaah si kawaida hii. Ngoja nivute pumzi niunganishe historia.
Duuuu mbona kimya kimya sana? Mapokezi ya mwili na ibada mbalimbali na kuaga kitaifa haikuwepo? Kiongozi wa Kitaifa aliyewakisha ni nani? Daaah si kawaida hii. Ngoja nivute pumzi niunganishe historia.

St. Peter’s niliona kwenye taarifa ya habari ITV Friday wanavyoaga alikueopo JK, kinana, Mzee Mwinyi , DG wa sasa na wastaafu, Rostam azizi nk
 
Attachments

  • 2ECB5AEF-BB1C-49B3-B283-296401B851EE.jpeg
    68.9 KB · Views: 11
  • 2AA9EAE4-D1DB-425D-95A9-1989134C4AF6.jpeg
    102.6 KB · Views: 11
  • BC5A945D-9AC9-4D14-A930-73192BA8995E.jpeg
    85.4 KB · Views: 11
Mungu amuweke mahali anakostahili!!
 
St. Peter’s niliona kwenye taarifa ya habari ITV Friday wanavyoaga alikueopo JK, kinana, Mzee Mwinyi , DG wa sasa na wastaafu, Rostam azizi nk

sura ya Mahita bana[emoji1787] huyu mzee kauzu sana
 
Ushaskia mossad na mi6 wanavujisha taarifa
 
Magufuli alihuzuria mazishi yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…