Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nika review kama wakati wa kusaini mikataba ya ACACIA na ujangili uliokuwa ukifanyika pale BOT kama alikuwa kwenye system halafu wote ulio wataja kwa sifa zote hizo basi Tanzania ingekuwa kama S.Africa,
Hata rais sijui kama atahudhuria kwenye mazishi maana anajua namna walivyo iharibu hii nchi
Kuna aina mbili za peer group pressure, NEGATIVE na POSTIVE wengi humu wanawachukia ama kuwapenda watu kwa kusikia maoni ya watu wengine huwa hawafanyi utafiti kujua upande mwingine ..huo ubaya wa Tiss tunaupima na uzuri intelligence agency ipi duniani isiyofanya wanyofanya TanzaniaMzee Apson ni mmoja kati ya watu Maghufuli aliwakubali na kuwasikiliza kwa ushauli
Ingekua Maghufuli hamkubali Mzee Apson unadhani Nape angeenda kumfata Mzee Apson ili akamuombee msamaa kwa Raisi?
Kwa taarifa yako DG mpya wa Usalama wa Taifa ni mkono wa Marehemu Apson
Hivi mwili umeshaletwa na kuzikwa? Maana msiba umepoapoa sana utafikiri si kiongozi mtaafu wa Majasusi kafa.
Duuuu mbona kimya kimya sana? Mapokezi ya mwili na ibada mbalimbali na kuaga kitaifa haikuwepo? Kiongozi wa Kitaifa aliyewakisha ni nani? Daaah si kawaida hii. Ngoja nivute pumzi niunganishe historia.Wameshazika jana huko Mbeya, wana Idara walizuia picha zisipigwe walitumia camera zao
Duuuu mbona kimya kimya sana? Mapokezi ya mwili na ibada mbalimbali na kuaga kitaifa haikuwepo? Kiongozi wa Kitaifa aliyewakisha ni nani? Daaah si kawaida hii. Ngoja nivute pumzi niunganishe historia.
Duuuu mbona kimya kimya sana? Mapokezi ya mwili na ibada mbalimbali na kuaga kitaifa haikuwepo? Kiongozi wa Kitaifa aliyewakisha ni nani? Daaah si kawaida hii. Ngoja nivute pumzi niunganishe historia.
Kwanini walizuia
NI pm n hii storyNiliwahi kuleta uzi humu kuwa kila nanii akienda kumwona mgonjwa lazma afe ule uzi ulifuta fasta[emoji2][emoji2]
Mungu amuweke mahali anakostahili!!Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Apson Mwang’onda (75), amefariki dunia leo Oktoba 7, nchini Afrika Kusini alikokuwa anatibiwa, familia yake imethibitisha.
View attachment 1226052
Rais Magufuli akimjulia hali Apson Mwang'onda hospitalini enzi za uhai wake
St. Peter’s niliona kwenye taarifa ya habari ITV Friday wanavyoaga alikueopo JK, kinana, Mzee Mwinyi , DG wa sasa na wastaafu, Rostam azizi nk
Ushaskia mossad na mi6 wanavujisha taarifaKuna aina mbili za peer group pressure, NEGATIVE na POSTIVE wengi humu wanawachukia ama kuwapenda watu kwa kusikia maoni ya watu wengine huwa hawafanyi utafiti kujua upande mwingine ..huo ubaya wa Tiss tunaupima na uzuri intelligence agency ipi duniani isiyofanya wanyofanya Tanzania
Magufuli alihuzuria mazishi yake?Mzee Apson ni mmoja kati ya watu Maghufuli aliwakubali na kuwasikiliza kwa ushauli
Ingekua Maghufuli hamkubali Mzee Apson unadhani Nape angeenda kumfata Mzee Apson ili akamuombee msamaa kwa Raisi?
Kwa taarifa yako DG mpya wa Usalama wa Taifa ni mkono wa Marehemu Apson
Litakuwa liliuwa sana watu hilo jambaziMtu asiyejulikana amepotea, alazwe anakostahili