TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

Katika hali ya kawaida huu ni msiba mkubwa hapa nchini, kwa hio natoa pole kwa familia idara ya usalama wa taifa serikali na tanzania kwa ujumla.
Tunaweza kumbeza ama kumkosoa lakini kwa vyovyote vile ana mchango mkubwa sana wa usalama na amani ndani ya nchi yetu. R I P Mzee.
 
Majirani wa nyumbani Obay hawa, watoto waliosoma Obay eighties na nineties wamefundishwa na kina Mrs. Mwang'onda na Mrs. Mihayo.

Enzi hizo Mzee Apson akiishi pale kona ya Hill Rd. na Msasani Rd. karibu na uwanja wa kuoshea mbwa pale ilipokuwa Norconsult.

Maisha yamepita kama upepo, zimebaki habari zake sasa.
Hahahaha nakumbuka sana mitaa hiyo ,norconsult kwa Mzee Kifukwe

Obay ya enzi hizo kitambo sana
 
Hahahaha, nilkua nashinda sana mtaa wa bongoyo na mikiadi nadhani, kwenye kiduka karibu na Mzee Kimario

Pale Bongoyo, cross streets ni Mkwawa na Winding Ave. Viwanja vya wazee vile.

Kwa Mzee Lubuva mbele kidogo.

Mzee Kimario mpaka amefariki alikuwa anaandika kitabu cha "War Stories" nilikuwa namsihi Mfaume kitabu kichapishwe watu wapate habari.

Umenikumbusha mbali sana kwenye kiduka kile.

Kuna siku nimekaa na kichaa wangu Alpha Opanga pale, ananiambia ana bonge la project la kuweka vyoo vya kulipia Dar. Nikasema Alpha acha stories zako, hakuna kitu kama hicho. Baadaye kidogo, nakuja kukuta Dar kuna vyoo vile vile alivyovisema Alpha!

The sad thing was Alpha had nothing to do with that.
 
Naam kaaa sana kidukani pale ,jioni unaingia kwenye court ya Mzee kimario kudunda kikapu

Ile mitaa siku hz watu hkn kabisa wote wamehama
 
Back
Top Bottom