Kite Munganga
Platinum Member
- Nov 19, 2006
- 1,773
- 952
hakuwa huyu. yule alikuwa othman mdigo wa TANGA
Historia ni nzuri kwani huwa haifutiki...R. Ighondu je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuwa huyu. yule alikuwa othman mdigo wa TANGA
Uweledi.Hospitality ndiyo nini? Punguza munkari, tulia uandike kwa ueledi.
BTW kama ni kweli kafariki, basi tuseme RIP shushushu namba 1 mstaafu.
Cc Unforgetable
Hahahaha nakumbuka sana mitaa hiyo ,norconsult kwa Mzee KifukweMajirani wa nyumbani Obay hawa, watoto waliosoma Obay eighties na nineties wamefundishwa na kina Mrs. Mwang'onda na Mrs. Mihayo.
Enzi hizo Mzee Apson akiishi pale kona ya Hill Rd. na Msasani Rd. karibu na uwanja wa kuoshea mbwa pale ilipokuwa Norconsult.
Maisha yamepita kama upepo, zimebaki habari zake sasa.
Uandishi wa ki Spy ... Poleni sana. Mwalimu wako huyo ... Pole sana mkuu
Mpk sasa nadhani wamepita Tisa ,toka enzi za Mzee Mzena ,police BranchNingependa kujua historia ya wakuu wa hii idara tokea iundwe mpaka sasa, kwa mwenye kujua.
Mpk sasa nadhani wamepita Tisa ,toka enzi za Mzee Mzena ,police Branch
Ukiusoma huu Uzi kwa umakini ,kuna sehemu jibu lipo na majinaMzee mzena ndie alie kua wa kwanza mkuu?
Wazee wa system wote hao.Hahahaha nakumbuka sana mitaa hiyo ,norconsult kwa Mzee Kifukwe
Obay ya enzi hizo kitambo sana
Bila kumsahau Shahidi wa Kesi ya Uhaini "Mr. X".Ukiusoma huu Uzi kwa umakini ,kuna sehemu jibu lipo na majina
NaamBila kumsahau Shahidi wa Kesi ya Uhaini "Mr. X".
Thibitisha usemi huo kwa kutumia riwaya mbili ulso soma [emoji3525]Duniani tunapita tu!!
Tutarajie siasa msibani.
Hahahaha, nilkua nashinda sana mtaa wa bongoyo na mikiadi nadhani, kwenye kiduka karibu na Mzee KimarioWazee wa system wote hao.
Hahahaha, nilkua nashinda sana mtaa wa bongoyo na mikiadi nadhani, kwenye kiduka karibu na Mzee Kimario
Naam kaaa sana kidukani pale ,jioni unaingia kwenye court ya Mzee kimario kudunda kikapuPale Bongoyo, cross streets ni Mkwawa na Winding Ave. Viwanja vya wazee vile.
Kwa Mzee Lubuva mbele kidogo.
Mzee Kimario mpaka amefariki alikuwa anaandika kitabu cha "War Stories" nilikuwa namsihi Mfaume kitabu kichapishwe watu wapate habari.
Umenikumbusha mbali sana kwenye kiduka kile.
Kuna siku nimekaa na kichaa wangu Alpha Opanga pale, ananiambia ana bonge la project la kuweka vyoo vya kulipia Dar. Nikasema Alpha acha stories zako, hakuna kitu kama hicho. Baadaye kidogo, nakuja kukuta Dar kuna vyoo vile vile alivyovisema Alpha!
The sad thing was Alpha had nothing to do with that.