GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni kwa kushiriki mauaji ya Gen. Kombe
Ulishirikiana nae? Na Idara haijawahi kupata bahati mbaya ya kuwa na DG ' mbovu ' kama huyo IK aliyetangulia Mavumbini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwa kushiriki mauaji ya Gen. Kombe
Mleta uzi lengo lake ni kutuambia historia ya Leaders Club!
Hahahahhahahaa umenifanya nicheke sanaaamkuu umenichekesha wakati tuna msiba
Mbona mpaka leo kila baa watu tungi likishawabamba wote wanai kuwa ni watu wa System.
Marehemu alifanikiwa kweli?
Link tafadhari mkuu.Nimetoka kuusoma kuna nondo nzito sana.
maendeleo ya kujitangaza kuwa ni shoga toka kanda maalum au?
Acha uongo wewe kipindi cha Ulimboka alikuwa keshastaafualafu eti mijitu inakuja hapa inasema RIP, pumbav, muacheni Mungu aweke mavuno yake panapostahili, na kama damu ya ulimboka ipo kwake basi italia mpaka kizazi chake cha nne
Kombe si alipigwa Risasi na Polisi kule moshi na Polisi mwenyewe ni aliwekwa ndani ingawa hatukujua hatima yakeUlishirikiana nae? Na Idara haijawahi kupata bahati mbaya ya kuwa na DG ' mbovu ' kama huyo IK aliyetangulia Mavumbini.
Eagle wa kitambo sana, Nyagabona yupo bana, alikua anapiga stick sana mkuu wa mkoa haoni ndani. Japo mie nimemkuta nyie mshamaliza miaka kadhaa iliyopita, mwalimu masilingi na headmaster Sato ndio alietupokea.Pamoja na kwamba alikuwa akifundisha hiyo Shule na Mwanae wa ' Kudekadeka ' Jimmy alikuwepo lakini alikuwa akimkuta amefanya Kosa anampa ' Bakora ' ambazo hata Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Chalamila za hivi majuzi zilikuwa ni za cha Mtoto tu. Na usiombe Siku awepo zamu na Mwalimu Mmoja wa Kiume Mkurya aliyekuwa ametokea JKT Nyagabona halafu uwe na Makosa hicho Kipigo chao cha ' Kolabo ' lazima tu ukitoka hapo utaenda Kuhadithia Kwenu. Walimu walikuwepo zamani siyo hawa wa Miaka hii waliolegea sana kiasi kwamba hata Wanafunzi wao tu huwa wanawatisha na wanawaogopa vile vile.
Hii sasa ni zilee story za kutengeneza binafsi ghettoMarehemu alitafuna sana pesa ya Laigwan
Msiba upo mbezi beach ya chini kama unaelekea kwa Zena.Mwambie ' Brazameni ' Jimmy asisahau Kupitisha Kitabu cha Maombolezo cha Msiba wa Baba yake kwa wana Darasa la Saba Wenzake wa ' Obey ' wa mwaka 1992 chini ya Mwalimu Mkuu Marehemu Mama Ng'ambi. Na kwa Kuanzia tu aanze upesi sana na Dada Brenda Msangi Boss Mkuu pale CCBRT Msasani kisha amuwahi na aliyekuwa Jirani yake wakati wakiishi Jirani na Maogesheo ya Mbwa pale ' roundabout ' mita chache tu kutoka Shule ya Msingi ya Obey Dada Mwasu Lubuva ( Binti wa Mzee Jaji Mstaafu Damian Lubuva ) Mimi mchango wangu pekee ambao nitautoa kwakuwa ni ' apeche alolo ' ni wa kupokea tu hiyo Michango, Kuihesabu Kiukamilifu kisha anaihakiki halafu namkabidhi Tom.
Poleni sana Familia ya Mzee Colonel Apson Mwang'onda, Bwana ametoa na Bwana ametwaa pia. Tupo pamoja hasa katika Kipindi hiki Kigumu mno na cha Majonzi ambacho mnakipitia na kikubwa tu nawaomba muwe Wavumilivu na tumuombee Mzee ili basi Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake kama Binadamu wengine, ampokee na amlaze mahala pema peponi Amen / Amina.
Sijajua kwa sasa Msiba upo wapi ila mkitusadia kutupa Maelekezo tutashukuru ili na Sisi wengine tuweze Kujumuika nanyi.
Eagle wa kitambo sana, Nyagabona yupo bana, alikua anapiga stick sana mkuu wa mkoa haoni ndani. Japo mie nimemkuta nyie mshamaliza miaka kadhaa iliyopita, mwalimu masilingi na headmaster Sato ndio alietupokea.
Ngoja nika review kama wakati wa kusaini mikataba ya ACACIA na ujangili uliokuwa ukifanyika pale BOT kama alikuwa kwenye system halafu wote ulio wataja kwa sifa zote hizo basi Tanzania ingekuwa kama S.Africa,
Hata rais sijui kama atahudhuria kwenye mazishi maana anajua namna walivyo iharibu hii nchi
Msiba upo mbezi beach ya chini kama unaelekea kwa Zena.
Nenda ukatuwakilishe utupo vipya vya moto vilivyojili hapo kwake, lakini uwe makini usiropoke wala kujiongelea chochote au kupiga story ambazo zitawafanya waombolezaji kutupia jicho kwako, utulie uwe msikivu usome upepo kwa weledi mkubwaAhsante kwa taarifa Ndugu najiandaa Kuja hapo japo najua 95% ya Waombolezaji watakaokuwepo hapo ni Jamaa zetu wale tupu au? Nawaogopa sana wale Jamaa sijui kwanini. Geti la Kuingilia ni Moja tu au kuna lingine lililo wazi kwani huwa sipendi Kupita sehemu yenye Watu wengi Ndugu. Hawana Geti la nyuma? Hebu niulizie hapo kwa Classmate wangu Jimmy kisha akikujibu uniambie sasa hivi kwani ikifika Saa 6 Kamili na ' Log Out ' hapa Jamvini tafadhali.
Mhhhh RIP baba mkwe.
Damu za watu, huku kwetu kijijini hatuna deni la damu ya mtu, wewe unafikiri damu ya ben sa nane, lissu, azory, alphonce maneno zitalipwa nan nani? Mungu hajui cha sistim ilikutuma, damu ya mtu itakulilia wewe mpaka kizazi chako cha nneKinachonishangaza na kunifanya mipigwe na butwaaaaa, wazee(wanawake kwa wanaume) waishio vijijini, ambao hushindia ugali wa mhogo, kisamvu, bia zao ni Buzaa, Chibuku, Dengelua, Mbege, wanaishi miaka 97, 103, 110 LAKINI wazee wanaokula raha za nchi huaga dunia wakiwa bado wabichi(naamini umenielewa)!!!!ni kwanini? Tunamsahau Muumba au vipi? Tunanyanyasa raia wa kawaida au vipi? Tunakula mno kwa ulafi au vipi(je, mimi nitakuwa kwenye kundi gani?) Tutafakari kwa sisi wote tuliobado hai!! Almighty God have mercy on Mankind, grant us wisdom.
RIP Boss.Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Apson Mwang’onda (75), amefariki dunia leo Oktoba 7, nchini Afrika Kusini alikokuwa anatibiwa, familia yake imethibitisha.
View attachment 1226052
Rais Magufuli akimjulia hali Apson Mwang'onda hospitalini enzi za uhai wake
Mkwere kazaliwa 07.10.1950 na sio 08