Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums anahojiwa Wasafi FM

Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums anahojiwa Wasafi FM

Naona watu mbalimbali wanasubiria pisi za rwanda zije kuingia MMU na love connect. Sema najiuliza kimyakimya, wadau wote hao lugha ya malkia inapanda??? [emoji848][emoji848]
Ama sisi tutajifunza kinywaranda kwa lazima au wao watajua kiswahili kwa lazimaa all in all lazima pisi zitaliwa
 
Wana Jf Bana Wanajiona Great Thinker Kuliko Hata Aliyowakusanya Hapa Ha Ha Ha Ha.

Wacha Mkurugenz Wa Jf Avue Watu Wanaotapatapa Ktk Bahar Na Kuwaleta Nch Kavu Wenda Tukasaidiana Kuijua Tz Na Siasa Zake Kisha Mabadiliko
 
Naona watu mbalimbali wanasubiria pisi za rwanda zije kuingia MMU na love connect. Sema najiuliza kimyakimya, wadau wote hao lugha ya malkia inapanda??? 🤔🤔
Kwa google translate atakuwa wapi?
Aki nawapenda wanyarwanda as ni warefuuu
 
Back
Top Bottom