Mkurugenzi mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa amegoma kuja JF atufafanulie uhalali wa makatazo wanayofanyiwa wasafiri wa SGR

Wale wanaakili timamu, wanajua ni mambo ambayo yamewahi kutokea

Muuza machungwa kaingia na machungwa yake bar then ugomvi umetokea mtu kawahi beseni la machungwa kachukua kisu kamchoma mwenzake kafa
Una hoja lakini mifano unayotoa bado ni irrelevant! Muuza machungwa vitu vyake vipo open kila mtu ataona kuwa yule ana machungwa ana ndoo ya maji ana kisu na kadhalika lakini mwenye bastola yake kwa ajili ya ulinzi binafsi hakuna anayeweza kuiona kirahisi ndo maana nikasema atakayempora afanye uhalifu basi alimplania sana au lao moja

Ujue sikia nikwambie kaka blaza, bastola ni kwa ajili ya ulinzi binafsi na mtu mpaka kufika nayo kwenye check point maana yake ana uhakika amekidhi hatua zote za kuwa nayo. Kumnyang'anya aingiapo kwenye treni ndani ni kuhatarisha usalama wake kwa sababu kwenye treni watu ni wengi na hivyo kunafanya sehemu hiyo iwe ni more vulnerable kwake yeye

Kwingine kote mmemuamini lakini hapa tu ndo mmeona ni hatari basi bora msingemruhusu kabisa kumiliki chuma. Nasema haya lakini sijui sheria ikoje hebu wataalamu watusaidie hivi kwa mtu (mfano wale wafanyabishara wakubwa wakubwa) akiwa anamiliki silaha kwa ajili ya ulinzi binafsi ni maeneo gani haruhusiwi kuwa nayo? Maana tumezoea tu kwenye mikutano ya kitaifa!
 
Brother anything can happen na pistol yako, na pistol sio kitu kama kifungo kwamba unaweka ndani ya mfuko na mtu hawezi kuona

Pistol inaonekana, ni kama wallet yenye Hela inavyoonekana

Ndani ya tren kuna Aman na ulinzi so Acha pistol yako mapekezi na utaikuta mwisho wa safari

Mbona ukienda kuoga bafu la hoteli huingii nayo bafuni?
 
Bora nikaparamie mabasi tu kuliko kuwekeana masharti kibao utadhani naingia jumba jeupe la Magogoni!
 
Treni ni mali ya watanzania, kwanini wajitokeze baadhi yetu wajimilikishe treni na kutuwekea masharti yao? Hawa watu hawalipi nauli , wala hawalipi kodi ya pango japo wanafanya biashara ndani ya hiyo treni.
Kwa hiyo ndege siyo mali ya Watanzania? Si mlisema huu Mradi ni white elephant!!! Sasa wenzetu wameweka utaratibu utakaosaidia kwanza kupunguza gharama za uendeshaji na kuhakikisha usafiri huu unakuwa na ubora kwa kudhibiti kitu chochote cha kuharibu safiri huu, mnawajia juu!!! Lengo lenu ni nini? Mnataka ndoto zenu za Mradi hautafanikiwa ( white elephant) zitimie!!! Kiroho hatutakubali hata kimwili pia .
 
Unakielewa unachozungumzia? Wale waliokuwa wakilangua tikiti hawakutumwa na shirika vivyo hivyo wanaouza maji hawajatumwa na shirika ni wajanja wameamua kufanya hiyo biashara kwa sababu ni waajiriwa wa ndani ya treni. Reli ya kati kuna behewa la hoteli rasmi ambayo inatambulika na serikali, kinachoendelea ndani ya treni ni wababe wamejipa mamlaka kinume na sheria za biashara.
 
Ni hivi ndugu yangu mlalamikaji watu wengi wanaingia na pombe kwenye chupa za maji na kujifanya ni maji ya kunywa sasa ukipata kiu kutoa 1000 unaona shida
 
Toa madhara ya maji kwanza kuwa Yana effect ipi ukiingia nayo?
Shida sio ninachokitaka la hasha maji hutumiwa na Kila mtu na Kila kiumbe.
Kila abiria akija na maji yake yale kwenye treini atanunua nani, na wale waudumu utawalipa wewe mshahara? tena wanatakiwa kuongeza bei kama kwenye ndege. Mchango wako wa maji ndio ajira ya wadada au wewe unachukia wakipata hiyo ajira??
 
Nani alikuambia wanalipwa Kwa mauzo ya maji? Wale ni waajiriwa wanalipwa Kwa pesa unayo lipia ticket (usafiri) pale.
Hiyo ni miradi ya vigogo tu Wala haihitaji akili kubwa kujua hilo
 
Wasafiri wanaotumia treni ya SGR ya TRC wamekumbana na makatazo ya vitu ambavyo ni haki yao kutembea navyo, mfano maji ya kunywa na mfuko unaohalalishwa na Serikali! Tumejitahidi kumuita aje atupe ufafanuzi wa madhara ambayo TRC imeyaona ikiruhusu abiria waingie navyo kwenye treni yao tofauti na kwenye treni yao ya reli ya kati.

Kukataa kwake kunaonesha hatuthamini abiria tusio na majina zaidi ya kupokea nauli zetu pendwa, TRC ndio wenye majibu nao hawako tayari kukutana nasi, yote ni kheri.
Sipati picha hii treni ikifika kigoma. Unamkatazaje muha kuingia na maji ya bomba, mkate, ugali nk kwenye treni? Ikifika kigoma lile la Zamani wauze skrepa, yakioperate parallel nakuapia lile la zamani litakuwa linajaa kwanza ndiyo watakaokosa waende SGR
 
Iko siku mtaingia na vilipuzi, ziingatieni taratibu
Talk sense, usijifanye wewe ndiye mstaarabu na wengine ni wahuni.
Kila abiria akija na maji yake yale kwenye treini atanunua nani, na wale waudumu utawalipa wewe mshahara? tena wanatakiwa kuongeza bei kama kwenye ndege. Mchango wako wa maji ndio ajira ya wadada au wewe unachukia wakipata hiyo ajira??
Hayo maji si ya shirika, shirika haliuzi maji ya mkononi, linauza maji kwenye behewa la hoteli.
 
Unakielewa unachozungumzia? Wale waliokuwa wakilangua tikiti hawakutumwa na shirika vivyo hivyo wanaouza maji hawajatumwa na shirika ni wajanja wameamua kufanya hiyo biashara kwa sababu ni waajiriwa wa ndani ya treni. Reli ya kati kuna behewa la hoteli rasmi ambayo inatambulika na serikali, kinachoendelea ndani ya treni ni wababe wamejipa mamlaka kinume na sheria za biashara.
Nadhani una hoja. Uchunguzi ufanyike kujua kwa taratibu za utoaji tenda zilifuatwa kwenye train hizi. Hata hivyo, umuhimu wa kuweka taratibu za kuwezesha uendelevu safi wa usafiri huu usitikiswe.

Najaribu kuwaza,
1. kwa hiyo wa behewa la Economy namba 7 anatakiwa akatize mabehewa ya Business na Royal ili akapate huduma ya soda na chai vivo hivyo kwa yule wa Royal?
2. Huduma ya vinywaji mbona inapatikana humo humo na ukiaguza unaletewa mara Moja? Changamoto ni huduma kupatikana ama gharama ya huduma?
3. ( hili ni swali lako Ndugu) Kwa kuwa umefanikiwa kutumia reli zote mbili (SGR na Reli ya kati), vipi kuhusu ubora wa huduma ya vyakula na vinywaji, mazingira ndani ya behewa la abiria na Hata sehemu za kujihifadhi katika reli hizi mbili?
 
Hakuna hata siku moja watu wamewahi kulalamika uchafu kwenye mabehewa ya reli ya kati kwa kuweka ushahidi wa picha.
Kuna siku nilipanda sgr kwenye siti niliyopata kulikuwa na kikombe cha karatasi kilichotumika na pakiti za kahawa na sukari zilizotumika, niliwaita wahudumu waziondoe hizo taka lakini mpaka nafika Dar hawakuziondoa, mbona ndani ya mabasi abiria hawatupi hovyo taka kutokana na kuwemo vifaa vya kuhifadhi hizo taka.
 
Back
Top Bottom