Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Ni muhimu akifahamikaMshaanza tena
Tanzania ni ya Watanzania
Kuongoza watanzania kazi sana, Mama angebaki na wateule wote walioteuliwa na hayati bado mngepiga milunzi sasa ameamua kubadilisha kidogo bado hamridhiki.
Alifufua shirika la Marine Services lilikuwa mbioni kubinafsishwa. Shirika lilikuwa linapewa ruzuku na Serikali lakini kwa sasa linajiendesha na lina Meli za kutosha ziwa ni.
Ndio maana magufuli alikuwa jeuri na kuwajibu shombo maana watanzania mna midomo sana.
Taifa bila wakosoaji ni Taifa mfu msione keroWakosoaji wanatamani wao ndio wateuliwe ila na mimi ningependa kufahamu zaidi ya kutukana mitandaoni ni nini wakosoaji hawa WA kila jambo wamelifanyia Taifa hili.
Labda wanataka wapate uteuzi kwa umahiri wa kukashifu mitandaoni.
Yuko wapi na shombo zake?Ndio maana magufuli alikuwa jeuri na kuwajibu shombo maana watanzania mna midomo sana.
Alifufua shirika la Marine Services lilikuwa mbioni kubinafsishwa. Shirika lilikuwa linapewa ruzuku na Serikali lakini kwa sasa linajiendesha na lina Meli za kutosha ziwa ni.
Tanzania sasa ndio nchi yenye miradi na mafanikio kwenye maziwa makuu,ni kwa sababu ya usimamizi mzuri wa huyu bwana...
fika ziwa Victoria ujionee
CV yake kuu ya kiutendaji ni usimamizi wa miradi mikubwa ya meli kwenye maziwa yetuCV yake iko wapi? Haya unayotuambia yanaweza kuwa matangopori tu.