Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Kuhoji pia ni sehemu ya kujenga taifa mzee. Taifa halijengwi kwa watu wote kuimba mapambio.Wakosoaji wanatamani wao ndio wateuliwe ila na mimi ningependa kufahamu zaidi ya kutukana mitandaoni ni nini wakosoaji hawa WA kila jambo wamelifanyia Taifa hili.
Labda wanataka wapate uteuzi kwa umahiri wa kukashifu mitandaoni.
Pamoja na kutotambua mchango mkubwa wa wanamitandao lakini kwa kiasi kikubwa wametufikisha hapa leo.
Hata jana baada ya uteuzi wa yule DSO mwizi wa kura mitandao iliripoti na mama akampiga chini?
Yaani mtto amalize shule 2013. Hajafanya kazi popote. Anakuwa DSO kisha mkurugenzi wa TODC? SERIOUS