Mashirika kama TPA, TPDC ni mashirika makubwa na ya umma. Anayeshika madaraka kuyaongoza shurti tumjue. Yakizama tunaumia na kupoteza pakubwa. Si haya makubwa tu mi natamani taasisi yoyote kubwa ya umma anayeongoza lazima awe mwenye uwezo mkubwa unaojulikana waziwazi. Isiwe siri.
Mwenye kujua alichowahi kufanikisha tuwekeeni hapa, tafadhali
Mwenye kujua alichowahi kufanikisha tuwekeeni hapa, tafadhali