Mkurugenzi Mpya TPA, Bw. Erick Benedict Hamis amewahi kufaulu katika lipi?

Mkurugenzi Mpya TPA, Bw. Erick Benedict Hamis amewahi kufaulu katika lipi?

Ndio maana magufuli alikuwa jeuri na kuwajibu shombo maana watanzania mna midomo sana.
Siyo watanzania dunia nzima na Tanzania bado watu wengi hawana elimu tukiwa na wasomi wengi zaidi kutakuwa hadi na maandamano kwa vitu kama kupandisha bei ya mafuta sh50 au 100 itafanya watu waandamane kiti cha urais kitakuwa cha moto sana kwa sasa bado sana
 
Kitendio wanachokifanya walo nyuma za hizi teuzi ni usaliti dhidi ya watanzania.

TPA ni moja ya njia kuu za kuingiza mapato ya taifa hivyo kuna kila sababu zilizo juu ya uwezo wa hawa watu kuhakikisha mteule yoyote wa kuongoza TPA ana sifa zinazostahiki.

Wakti huohuo TPA ni sehemu ya kupitisha makontena bila kuyafanyia scanning, na kutolipa kodi na vitendo vyote vya uhujumu uchumi wa nchi.

Kwa bahati nzuri sisi sote hapa ni mashuhuda wa kinachoendelea na tunashuhudia mengi.
Labda mlitaka awekwe nani TPA? Makonda? Gwajima? Polepole?
Erick kafanya kazi na TPA kwa ukanda wa maziwa Makuu, Victoria, Tanganyika na Nyasa kupitia kampuni ya MSCL na sehemu aliyokuepo ameonyesha uhai na imani na hata TPA atafanya vizuri tu, uzuri wa TEUZI zina TENGUZI.
 
Mkuu, bado hatujaona CV ya unaemtetea.

Tuleteeni CV yake.

Hao unowataja hawana sifa za kushika taasisi nyeti kama TCRA.

Mimi nafahamu fika kwamba huu ni mpango maalum unolenga sehemu muhimu ambazo ndo economic indicators za uchumi wa nchi hii.

Kwa mfano unamwondoa James Kilaba ambae kiutaalam ni mhandisi wa hio sekta ya mawasiliano.

Kwanini usimwite na ukapata maelezo shida ni nini halafu mkatafuta suluhisho?

Bodi nzima ya TCRA ina wasomi ambao wengi wao wana shahada ya kwanza kutoka nje ya Tanzania yaani Ulaya na Marekani hivyo hawakuzipata bure wazungu waliridhika na kazi zao khasa za project.

Unapowaondoa hawa watu bila kwanza kujiridhisha kwamba tatizo lipo wapi kwa kusilikiza tu kelele za mitandaoni hiyo inatia shaka.

Iletwe hapa CV ya jamaa.
 
Mkuu, bado hatujaona CV ya unaemtetea.

Tuleteeni CV yake.

Hao unowataja hawana sifa za kushika taasisi nyeti kama TCRA.

Mimi nafahamu fika kwamba huu ni mpango maalum unolenga sehemu muhimu ambazo ndo economic indicators za uchumi wa nchi hii.

Kwa mfano unamwondoa James Kilaba ambae kiutaalam ni mhandisi wa hio sekta ya mawasiliano.

Kwanini usimwite na ukapata maelezo shida ni nini halafu mkatafuta suluhisho?

Bodi nzima ya TCRA ina wasomi ambao wengi wao wana shahada ya kwanza kutoka nje ya Tanzania yaani Ulaya na Marekanim hivyo hawakuzipata bure wazungu waliridhika na kazi zao khasa za project.

Unapowaondoa hawa watu bila kwanza kujiridhisha kwamba tatizo lipo wapi kwa kusilikiza tu kelele za mitandaoni hiyo inatia shaka.

Iletwe hapa CV ya jamaa.
Kwangu nilichokifahamu na ku recommend appointment ya Erick ni kufufua na kurudisha uhai wa shirika la meli na likaweza kujiendesha kwa faida.
 
Kwangu nilichokifahamu na ku recommend appointment ya Erick ni kufufua na kurudisha uhai wa shirika la meli na likaweza kujiendesha kwa faida.
Shirika la meli na Mamlaka ya usimamizi wa bandari zote Tanzania ni vitu viwili tofauti.

Tupo hapa tunashuhudia mengi kutoka bandarini.
 
Shirika la meli na Mamlaka ya usimamizi wa bandari zote Tanzania ni vitu viwili tofauti.

Tupo hapa tunashuhudia mengi kutoka bandarini.
MSCL na TPA ni washirika kwa ukanda wa maziwa. sijajua bandarini
 
MSCL na TPA ni washirika kwa ukanda wa maziwa. sijajua bandarini
TPA yasimamia bandari zote Tanzania.

Shirika la meli na Uwakala ni meli kama asset yaani rasilimali.
Kwenye shirika la meli hakuna upigaji sana.

Bandari yaingiza mapato ya taifa na ni moja ya mirija ya kiuchumi.

Bandarini kuna upigaji wa kiwango cha juu kwa kila aina ya upigaji unoufahamu mimi nimefanya kazi pale miaka ya 90s nikitoa mizigo.

Mafuta yote yaibwa na kisha huuzwa mitaani watu waharibu scanners na mita za mafuta.

Hizi ni hujuma ili wa kule juu aonekane hawezi na atolewe.

Naongea nnachokifahamu uzuri.
 
Kama umetumia takwimu za awamu ya Tano nakukumbusha hata Bodi ya Mikopo ilitoa gawio japo kuna watu walikuwa wamekosa mikopo ,ATC walitoa hadi gawio kumbe imepigwa 'tanganyika jeki' ya Mabilion
Bodi ya mikopo ilitoa gawio?
Is this a trading company?
Kujikomba kwingine kumepitiliza, hata huyo aliyepokea gawio alikua na tatizo.
Pohamba thank you for this reminder
 
Shirika la meli na Mamlaka ya usimamizi wa bandari zote Tanzania ni vitu viwili tofauti.

Tupo hapa tunashuhudia mengi kutoka bandarini.
Bandari ni mkubwa zaidi, Shirika la meli ni mdogo na anatumia bandari kupakia,kushusha na kupaki meli zao.

Mapato ya Marine service yanaweza hata yasifikie bandari ya Tanga pekee.
 
Mkuu Richard au itumike approach kama ya Raisi Kikwete kuwachukua Diaspora wa kitanzania na kuwaleta.

Tunao watanzania waliopata elimu ya masuala ya Bandari huko World Maritime University na wanafanya kazi kwenye bandari kubwa duniani na wengine walisomeshwa na serikali wachache wakarudi huku.
 
JK aliitwa Vasco Da Gama lakini humohumo alianza kugundua kuwa wapo watanzania ambao wamesomea masuala mbalimbali na wanashika nafasi nzuri tu na wanahehimika.

Na pia iwe sera ya serikali kusomesha vijana masuala haya ya Maritime Management na Logistics ambapo wanakuwa waandaliwa kuendesha taasisi mbalimbali nyeti za serikali.

Na wakti huohuo wanakuwa understudy wa wale walo juu yao ambao ni waadilifu.

Ila uteuzi wa huyu jamaa kuwa DG wa TPA sikubaliani nao ila nampa support ajifunze na awe kiongozi anaedhibiti bandari zetu kwa kuweka "monitoring systems".

Hizi anaweza kuwekeza kwa kuagiza kutoka nchi zenye bandari kubwa duniani ikamsaidia kupiunguza maumivu ya kichwa.
 
Mkuu huyu aliyeteuliwa anaweza maana ana background kikubwa wasaidizi wake wampe sapoti ili aonyeshe alichonacho.

Kwa TPA inabidi bodi ibadilishwe iwekwe watu wenye ujuzi wa Marine, shipping business, insurance, marine security na project management. Ukiangalia bodi ya taasisi kama hii kubwa wamewekwa watu ili wakapumzike baada ya kustaafu au kusifia.
 
Poor you na kauli yako ya hovyo.Unafikri uongozi ni fadhila au hisani.
Fahamu kwamba Serikali iko kwa mujibu wa katiba na wameajiriwa na wananchi wanaowalipia mishahara yao kupitia kodi wanazokusanya.
Exemplary true
 
wa TPA inabidi bodi ibadilishwe iwekwe watu wenye ujuzi wa Marine, shipping business, insurance, marine security na project management. Ukiangalia bodi ya taasisi kama hii kubwa wamewekwa watu ili wakapumzike baada ya kustaafu au kusifia.
Ni kweli. Yaani bodi zetu ziko overse kabisa. Hazina uhai na ndio maana nyingi hazina meno
 
Hata Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ilitoa gawio
Aisee. Kidogo tu na tume ya uchaguzi wangewasilisha gawio.
Tume pretend sana kwa manufaa ya masikio ya mtu mmoja.
Leo nimemsikia Mpango akisema tuko uchumi wa Kati sijui huyu mheshimiwa sana anapitia barabara ipi akitokea Kigoma kuja huku kwenye civilization.
 
Mkuu naamini unamjua Erick.
Usitake kujua kwanini najua unajua,anyway kausha usianzishe zile ligi zako hapa ntakukimbia😁😊
We jamaa noma. Ndiyo kwanza napata faili.
 
Niombe mwenye CV ya Mkurugenzi Mpya wa TPA lakini pia tupate experience yake pamoja na Miradi au ofisi alizowahi kuhudumu na mafanikio au mabadiliko aliyosababisha katika ofisi hizo.

Tumekuwa na wateule wa Rais ambao hawajawahi kufanikiwa popote walipowahi kufanya kazi, lakini pia utamaduni wakutumia vyeti vya taaluma nao umetukwamisha kwenye mambo mengi, utaratibu mmoja wakutumia makada wa CCM pia nao umelididimiza Taifa.

Ningependa kujua huyu Bwana huko alikokuwa alifanya nini hadi tumkabidhi bandari zetu?

Ukitafuta taarifa zake mitandaoni haupati ile flavour ya kupata nafasi ya Mkurugenzi wa bandari. Tukumbuke ili ni lango kubwa la uchumi wetu.
Ulikua sahihi, leo kaondolewa. Nani wa kumlaumu?
 
Back
Top Bottom