Mkuu naamini unamjua Erick.Mtu kuomba CV ndiyo kuwa mkosoaji?
Usitake kujua kwanini najua unajua,anyway kausha usianzishe zile ligi zako hapa ntakukimbia😁😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naamini unamjua Erick.Mtu kuomba CV ndiyo kuwa mkosoaji?
Ndio maana Mungu naye alishusha nyundo kwa huyo mtoa shombo. Mungu ni fundi aisee!Ndio maana magufuli alikuwa jeuri na kuwajibu shombo maana watanzania mna midomo sana.
Wee Mata mjinga uliekua unasifia kila upumbavu wa Meko bado unapanua panua domo tu..!!?Wakosoaji wanatamani wao ndio wateuliwe ila na mimi ningependa kufahamu zaidi ya kutukana mitandaoni ni nini wakosoaji hawa WA kila jambo wamelifanyia Taifa hili.
Labda wanataka wapate uteuzi kwa umahiri wa kukashifu mitandaoni.
Eric is a perfect choice.Huyu naye asije kuwa kama Yule Mwesigwa wa TPDC aliyeteuliwa na baadaye kuambiwa stop
Hata mimi hayo ndio yalikuwa matarajio yangu,sioni sababu ya kufanya mabadilikoKuongoza watanzania kazi sana, Mama angebaki na wateule wote walioteuliwa na hayati bado mngepiga milunzi sasa ameamua kubadilisha kidogo bado hamridhiki.
Hata angekuepo Mzee bado kuna siku angempa Erick wadhifa sehemu kubwa zaidi, jamaa ni hazinaHata mimi hayo ndio yalikuwa matarajio yangu,sioni sababu ya kufanya mabadiliko
Bila kusahau Standard Chartered Bank. Erick ni superEric is a perfect choice.
Ukitaka kujua historia ya Huyu jamaa,tafuta data za Best Bankers ktk miaka ya 2010 mpk
2015 pale TIB.
Huyu Bwana alikuwa Director wa Portfolio pale.
He was a no nonsense guy there.
Vetting ya TIB by then haikuwa ya kitoto.
So he is capable and truly a leader.
Pale Mwanza Bandari Amefanya kazi kubwa na nzuri,yet a very simple young man.
Hayo macheti anayo lakini kikubwa si hayo makaratasi ya kugoogle....
-Creativity.
-Leadership
-Social interactions
-Capacity to Evolve into higher economic level.
Dogo yuko vizuri sana!!
A good choice.
Serikali inatoa pesa tu bila proposal ????? Kuna zaidi ya kutoa pesa return ya pesa na usimamizi ni kitu kingine. ATCL wameleta majibu umesikia kuhusu MSCL anaposimamia Erick B Hamis ????Hizo sio kazi zake.Hata wewe ungemwagiwa pesa na serikali ungeweza kufanya hivyo pia.
Tupe CV yake.
Mamlaka ni zaidi ya shirika.Alifufua shirika la Marine Services lilikuwa mbioni kubinafsishwa. Shirika lilikuwa linapewa ruzuku na Serikali lakini kwa sasa linajiendesha na lina Meli za kutosha ziwa ni.
Bavicha mnafuraha sana kama vile mmeshinda uchaguzi, endeleeni kwakua ni furaha ya muda tu.Wee Mata mjinga uliekua unasifia kila upumbavu wa Meko bado unapanua panua domo tu..!!?
Mkuu, hata kama namjua sijui kama namjua.It has been so long since I was on the scene.Mkuu naamini unamjua Erick.
Usitake kujua kwanini najua unajua,anyway kausha usianzishe zile ligi zako hapa ntakukimbia😁😊
Tatizo kila mtu ana mtu wake, na inapotokea hajateuliwa ndipo mapovu huanza. Ingawa wistleblowing ni muhimu sana vinginevyo yule wa TPDC angepeta halafu tukashuhudia kizaa zaa.Kuongoza watanzania kazi sana, Mama angebaki na wateule wote walioteuliwa na hayati bado mngepiga milunzi sasa ameamua kubadilisha kidogo bado hamridhiki.
Kazi za Erick zinaonekana huyo wa TPDC ndio balaaTatizo kila mtu ana mtu wake, na inapotokea hajateuliwa ndipo mapovu huanza. Ingawa wistleblowing ni muhimu sana vinginevyo yule wa TPDC angepeta halafu tukashuhudia kizaa zaa.
Ila mama inavyokuchukulia ni tofauti na uwezo wakoTanzania ni ya Watanzania
Kwani imekuaje KurunziIla mama inavyokuchukulia ni tofauti na uwezo wako
Kwani imekuaje Kurunzi
[/QUOTENitakwambia siku ikiwadiaKwani imekuaje Kurunzi