MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Hii kitu niliwaambia wadau kwenye uzi ule wa vita wakabeza. Inasadikiwa hii vita ilitakiwa kudumu kwa masaa 48 tu. Baada ya kuuwawa Ayatollah walitarajia yatokee maandamano kama ya Arab spring na utawala wa kiayattolah uangushwe kupitia Cells zao huko Iran. Matokeo yakaja kinyume. Tuombe wamalize kwa amani hii kitu isijeikasambaa duniani kote.View attachment 3562275
Upande mwingine Bwana Benjamin Netanyahu analalamika kwamba MOSSAD imemuangusha baada ya kushindwa kutimiza ilichomuahidi kabla ya vita kuanza. Walisema wangesababisha vurugu nchi ikachafuka na utawala ukaanguka, lakini hilo jambo halijatokea bado. Israeli wana nguvu sana, tena sana lakini hapa walizichanga karata zao vibaya mno na yamewakuta.
Hii kitu niliwaambia wadau kwenye uzi ule wa vita wakabeza. Inasadikiwa hii vita ilitakiwa kudumu kwa masaa 48 tu. Baada ya kuuwawa Ayatollah walitarajia yatokee maandamano kama ya Arab spring na utawala wa kiayattolah uangushwe kupitia Cells zao huko Iran. Matokeo yakaja kinyume. Tuombe wamalize kwa amani hii kitu isijeikasambaa duniani kote.
Huyo akisema wamsikiliza uzuri kwani ana madini ya kutosha.
Iran Toka Mwaka jana Hadi sasa imekamata double agents, agents, sympathizers wa Mossad na Israel zaidi ya 700!!! Kwa hiyo, missions za kuleta vurugu ndani ya Iran zimekufa ukizingatia Israel na US waliua watoto wa Iran waliokuwa Shuleni. Nyongeza US na Israel wakamuua Ayatollah na wakajigamba kuwa wamemua. Hili limewaleta Karibu zaidi na kuwa Wamoja wairan.imemuangusha baada ya kushindwa kutimiza ilichomuahidi kabla ya vita kuanza.
Kita nikitaka kufanya maendeleo vita inakuja , naombea vita iishe mapema mzizo usiwe mkubwa na kuenea .Hii kitu niliwaambia wadau kwenye uzi ule wa vita wakabeza. Inasadikiwa hii vita ilitakiwa kudumu kwa masaa 48 tu. Baada ya kuuwawa Ayatollah walitarajia yatokee maandamano kama ya Arab spring na utawala wa kiayattolah uangushwe kupitia Cells zao huko Iran. Matokeo yakaja kinyume. Tuombe wamalize kwa amani hii kitu isijeikasambaa duniani kote.
Yes hii ni about Marekani kutawala Dunia na kumzuia China ambae amekuwa (hadi sasa) akifaidi mafuta machafu ya pale kisiwa cha Kharg na Mareani akitaka kisiwa hicho kwa namna yoyote ile.Israeli alianza kushindwa vita dhidi ya Iran mwaka 2023.
Israeli siku zote iliweza kujitanabaisha kama taifa ambalo linaonewa na kuchukiwa na watu wenye hila dhidi yake. Jambo hili lilifanya taifa la Israeli kuungwa mkono na watu wengi duniani. Binafsi hata mimi Anti-Semitism huwa nadhani ni ukichaa wa akili tu. Lakini walichofanya Gaza kina Netanyahu kimefanya dunia nzima, hata mataifa mengine kusita kumsaidia kwenye hii vita kwa Intelijensia, Diplomasia na Propaganda. Netanyahu na Trump wako peke yao.
Ukiona hadi The New York Times na The Economist wanapinga vita dhidi ya Marekani na Israeli kwa kiwango hiki, basi fahamu fika kuna kitu hakipo sawa kabisa kwenye kambi ya Magharibi. Naamini NATO kuna muda watamuunga mkono Marekani na Israeli lakini itakuwa baadaye sana ambapo nao wenyewe yamewakuta tayari.
Na kwa nyongeza Iran kwa sasa hakuna Internet (WAN) bali kuna intranet (local LAN), hivyo raia wameruhusiwa kutumia intranet ndani ya Iran na mawasiliano yapo kama kawaida isipokuwa hawana mawasiliano na nje ya Iran.Iran Toka Mwaka jana Hadi sasa imekamata double agents, agents, sympathizers wa Mossad na Israel zaidi ya 700!!! Kwa hiyo, missions za kuleta vurugu ndani ya Iran zimekufa ukizingatia Israel na US waliua watoto wa Iran waliokuwa Shuleni. Nyongeza US na Israel wakamuua Ayatollah na wakajigamba kuwa wamemua. Hili limewaleta Karibu zaidi na kuwa Wamoja wairan.
Unahisi hao wazee wa miaka 86 hata wanajua AI na GPS coordinates ni nini? Kama unaamini vita vinapiganwa na hao wanasiasa then Iran Hana kitu, ila uhalisia haupo hivyo.Tunachoangalia ni facts sio nani kasema
Huwezi niambia Iran wana intelejensia kubwa wakati waziri wao wa Intelejensia kabamizwa pamoja na waziri wa ulinzi na wakuu kibao wa baraza la usalama wa taifa.
Mwenye intelejensia kali tunaona anachofanya, kaweza kumlipua kiongozi mkubwa kwa sekunde 40 tu, kaweza kuingilia mawasiliano na kutrack viongozi, n.k.
Nyau awapeleke hao MOSSAD wakaandane kwa niaba ya wananchi wa Iran, ili wakichafue.. Huyu jamaa na Trump wamekuwa kama wehuView attachment 3562275
Upande mwingine Bwana Benjamin Netanyahu analalamika kwamba MOSSAD imemuangusha baada ya kushindwa kutimiza ilichomuahidi kabla ya vita kuanza. Walisema wangesababisha vurugu nchi ikachafuka na utawala ukaanguka, lakini hilo jambo halijatokea bado. Israeli wana nguvu sana, tena sana lakini hapa walizichanga karata zao vibaya mno na yamewakuta.
Kuongezea mkuu Wakurdi wa Iran wamekataa, wamesema wao sio mercenary, wamesalitiwa na USA before na hawatakubali now.Na kwa nyongeza Iran kwa sasa hakuna Internet (WAN) bali kuna intranet (local LAN), hivyo raia wameruhusiw kutumia intrant ndani ya Iran na mawasiliano yapo kama kawaida isipokuwa hawana mawasiliano na nje ya Iran.
Pili, baada ya yale mauaji ya mwanzo ya raia na waandamanaji raia wameingia uwoga mkuu hivyo kushindwa kufanya kampeni yoyote ile ya kuandamana.
Tatu, vile vikosi vya ki-Kurd kule kaskazini vilipewa msaada na CIA ili walianzishe nao wote walishughulikiwa na vikosi vya Iran (Proxies) kulekule kabla hata hawajaanza mambo yao.
Ndo maana waona hali iliyopo kwa sasa.
Kuongezea mkuu Wakurdi wa Iran wamekataa, wamesema wao sio mercenary, wamesalitiwa na USA before na hawatakubali now.
Waliopigwa ni Wakurdi wa Iraq ambao wengi wanaishi kambi za USA.
Makombora karibu 92% ya Iran yanazuiwa na mifumo kama Iron Dome, lakini Iran yenyewe haiwezi kuzuia hata shambulio moja, unaona tofauti au bado?Unahisi hao wazee wa miaka 86 hata wanajua AI na GPS coordinates ni nini? Kama unaamini vita vinapiganwa na hao wanasiasa then Iran Hana kitu, ila uhalisia haupo hivyo.
Handala Kundi la Iran la hii vita wanadukua Israel kama hawana Akili vizuri, mpaka ukiona Netanyahu anabandika Gundi kwenye simu anaelewa wanachofanya, mpaka ukiona Taa za barabarani zinatolewa Israel wao wanaelewa wanachofanya.
Juzi Dimona kumepigwa hakujalia Ving'ora wala missile Ku intercept Handala wame claim udukuzi huo wamefanya wao.
Angalia hata picha za Satellite base za Marekani zilivyopigwa, ni mpuuzi pekee atasema hawa watu walikua hawana intelligence.
View attachment 3562288
Unaona Radar hizo zimekuwa precisely attacked, MTU yupo Iran pengine maisha yake yote hata nje ya Iran haijawahi kutoka, anabonyeza Tu kitufe missile inaenda exactly kupiga sehemu Fulani tena kisehemu kidogo Tu kama dishi la Mita kadhaa kinateketezwa. Unahisi hii sio intelligence?