Mkurugenzi mstaafu wa ujasusi Uingereza: Iran amemzidi Marekani kwenye hii vita

Hakuna mtu anependa au kushabikia vita na mauaji ya raia waso na hatia.

Lakini "I am sorry to say", Donald Trump kaamua kuivamia Iran mazima na itakuwa vita itayolazimisha vita ya tatu ya Dunia.

Sote tuombe isitokee hivyo.

Tatizo lipo Kwa mayahudi. Wameshaamua vita ipiganwe mpaka mwisho.
Sioni namna vita ikiisha hivi karibuni.
Ni aidha Iran idondoke au Israel ipotezwe
 
Tunachoangalia ni facts sio nani kasema

Huwezi niambia Iran wana intelejensia kubwa wakati waziri wao wa Intelejensia kabamizwa pamoja na waziri wa ulinzi na wakuu kibao wa baraza la usalama wa taifa.

Mwenye intelejensia kali tunaona anachofanya, kaweza kumlipua kiongozi mkubwa kwa sekunde 40 tu, kaweza kuingilia mawasiliano na kutrack viongozi, n.k.
Intelijensia
 
Makombora karibu 92% ya Iran yanazuiwa na mifumo kama Iron Dome, lakini Iran yenyewe haiwezi kuzuia hata shambulio moja, unaona tofauti au bado?

Hao Handala hawafikii popote mbele ya Israel waliomdukua Ayatollah akiwa anatumia kitochi na wakambamiza ndani ya sekunde 40 tu.

Hilo eneo lililopigwa ni miongoni mwa machache ambayo makombora yaliweza kupenya. Sasa linganisha na Israel, akiamua kulenga target yoyote ndani ya Iran, kuna kizuizi ?

Iran anarusha makombora kwa wingi, Israel anaingia mpaka Tehran na kupiga anapotaka, anamfuata adui sebuleni kwake kabisa sio kumshambulia kwa mbali.

Na hadi leo Iran wanahangaika kupata intel ya kulipiza kisasi kwa viongozi wakubwa wa Israel, wakati Israel anafanya operation ndani ya sekunde chache na anarudia mara kwa mara. Iran walichoweza ni kutumia AI kutengeneza video kuwafariji watu kama wewe eti wamemuua Neta

Hiyo ndiyo intelligence, si kelele, ni matokeo.
Ubishi wa kitoto pengine sitaendelea kukujibu.

Ayatollah hakujificha Bali ameuliwa nyumbani kwake, na nyumbani kwake Hana bunker wala ulinzi wowote, anaishi maisha ya kimasikini kama masikini wengine, same kwa hao viongozi wengine, loyality hainunuliwi Bali huja kwa matendo yako, mpaka ukiona mwezi sasa Wairan kwa mamilioni wapo mtaani hayo mapenzi hayakuja hivi hivi, angeuliwa kwenye bunker huko wengi wasingekua loyal. Alishamsema siwezi kaa kwenye bunker Hadi Wairan wote Wawe na uwezo wa kuwa na bunker zao.

Vyombo vyote vya habari vikubwa kuanzia BBC, CNN, vya Uturuki, Al Jazeera, new York times na wengineo kwa pamoja wanakubaliana Tel aviv umeharibiwa vibaya Sana na sasa inaanza kufanania na Gaza, ni mpuuzi pekee anaefikiri Asilimia 92 ya makombora yanakuwa intercepted.

Pia Ndege za USA/Israel haziingii Iran zinaishia Tu Nchi za Jirani ama mpakani, so Far according to Bloomberg Ndege 16 zimelipuliwa nyingi zikiwa Kuwait na Iraq, mpaka F35 imedondoshwa, so is Manowari mbili kubwa za kivita zime retreat,

Anachofanya Israel ni kitu ambacho anakifanya siku zote kuua wanawake, watoto, wazee na watu wasio na hatia, kupiga Shule, Hospitali, vituo vya umeme, viwanja vya mpira etc.

Unafkiri Iran Hana uwezo wa kuua civilian wa kawaida? Anao ila yeye ana target Tu Serikali ya Israel, vita si sifa kuua watu wengi Bali ni kufanikisha objectives zako.
 
Hakuna kiongozi aliekuwa akilindwa na makomandoo wabobevu na teknolojia ya hali ya juu Iran kama Ayatollah Khamenei.

Kwa bahati mbaya vitu hivi havikuwa na uzito wowote kwa ntelejensia na teknolojia za Israel

Na viongozi wengine wamo waziri wa ulinzi, wakuu wa majeshi ya taifa na irgc, mkuu wa baraza la usalama wa taifa, n.k.

Israel ana support kubwa sana ya wananchi wa Iran ukiachana na hawa wanufaika wa utawala, wananchi wa kawaida sio adui zake, wanawapa taarifa Israel kiongozi flani kaenda sehemu flani mlipueni. wana uwezo wa kuingia na kutoka watakavyo Tehran lakini targets zao ni viongozi na mitambo, ikitokea kuna raia wameuawa basi ni cross fire,

Lakini Iran inalenga raia hadi sasa ndio maana hawajaweza kuua kiongozi mkubwa hata moja, wanalenga raia
 
Na kwa nyongeza Iran kwa sasa hakuna Internet (WAN) bali kuna intranet (local LAN), hivyo raia wameruhusiwa kutumia intranet ndani ya Iran na mawasiliano yapo kama kawaida isipokuwa hawana mawasiliano na nje ya Iran.

Pili, baada ya yale mauaji ya mwanzo ya raia na waandamanaji raia wameingia woga mkuu hivyo kushindwa kufanya kampeni yoyote ile ya kuandamana.

Tatu, vile vikosi vya ki-Kurd kule kaskazini vilipewa msaada na CIA ili walianzishe nao wote walishughulikiwa na vikosi vya Iran (Proxies) kulekule kabla hata hawajaanza mambo yao.

Ndo maana waona hali iliyopo kwa sasa.
Niliona mahojiano ya kiongozi wa kurdi amesema wao sio bunduki za kukodisha ,wamewakatalia Marekani kujiingiza kwenye mzozo maana Marekani kwa miaka mingi anawatumia bila kupata chochote,na cha zaidi amesema wao sio kundi kwa ajili ya vita ,wao ni kama jamii nyingine ambao wanapigania kuwa na inchi yao (kuna wa kurd zaidi milioni 30 lakini hawana taifa rasmi,)

Pia amesema wameongea na serikali ya irani kutoingilia vita
 
Hakuna kiongozi aliekuwa akilindwa na makomandoo wabobevu na teknolojia ya hali ya juu Iran kama Ayatollah Khamenei.

Kwa bahati mbaya vitu hivi havikuwa na uzito wowote kwa ntelejensia na teknolojia za Israel

Na viongozi wengine wamo waziri wa ulinzi, wakuu wa majeshi ya taifa na irgc, mkuu wa baraza la usalama wa taifa, n.k.

Israel ana support kubwa sana ya wananchi wa Iran ukiachana na hawa wanufaika wa utawala, wananchi wa kawaida sio adui zake, wanawapa taarifa Israel kiongozi flani kaenda sehemu flani mlipueni. wana uwezo wa kuingia na kutoka watakavyo Tehran lakini targets zao ni viongozi na mitambo, ikitokea kuna raia wameuawa basi ni cross fire,

Lakini Iran inalenga raia hadi sasa ndio maana hawajaweza kuua kiongozi mkubwa hata moja, wanalenga raia
Umetoka facebook
 
Tunachoangalia ni facts sio nani kasema

Huwezi niambia Iran wana intelejensia kubwa wakati waziri wao wa Intelejensia kabamizwa pamoja na waziri wa ulinzi na wakuu kibao wa baraza la usalama wa taifa.

Mwenye intelejensia kali tunaona anachofanya, kaweza kumlipua kiongozi mkubwa kwa sekunde 40 tu, kaweza kuingilia mawasiliano na kutrack viongozi, n.k.
Vita ya Ukraine na Russia ni ngumu kuliko hii kinachomsaidia Iran ni kupiga wasiohusika Kwa kigezo cha kupiga jambo za marekani
 
Huyu jamaa na Trump wamekuwa kama wehu
Eti wanafikiria kuwapatia Iran proposal hii na Iran awakubalie
===
Israel’s Channel 12 has published what its sources claim to be 14 of the 15 demands and proposals the US allegedly conveyed to Iran:

1. Iran must dismantle its existing nuclear capabilities.

2. Iran must commit never to pursue nuclear weapons.

3. There will be no uranium enrichment on Iranian territory.

4. Iran must hand over its stockpile of some 450 kilograms of uranium enriched to 60 percent to the International Atomic Energy Agency in the near future, in a timetable to be agreed.

5. The Natanz, Isfahan and Fordo nuclear facilities must be dismantled.

6. The IAEA, the UN’s nuclear watchdog, must be granted full access, transparency and oversight inside Iran.

7. Iran must abandon its regional proxy “paradigm.”

8. Iran must cease the funding, direction and arming of its regional proxies.

9. The Strait of Hormuz must remain open and function as a free maritime corridor.

10.Iran’s missile program must be limited in both range and quantity, with specific thresholds to be determined at a later stage.

11. Any future use of missiles would be restricted to self-defense.

12. Iran would receive a full lifting of sanctions imposed by the international community.

13. The US would assist Iran in advancing its civilian nuclear program, including electricity generation at the Bushehr nuclear plant.

14. The so-called “snapback” mechanism, which allows for the automatic reimposition of sanctions if Iran fails to comply, would be removed.
 
H
Tunachoangalia ni facts sio nani kasema

Huwezi niambia Iran wana intelejensia kubwa wakati waziri wao wa Intelejensia kabamizwa pamoja na waziri wa ulinzi na wakuu kibao wa baraza la usalama wa taifa.

Mwenye intelejensia kali tunaona anachofanya, kaweza kumlipua kiongozi mkubwa kwa sekunde 40 tu, kaweza kuingilia mawasiliano na kutrack viongozi, n.k.
Hao ni public figures ni rahisi kuwatrack na kuwamaliza.Pia msimamo wa Ayatolla kukataa kwenda safe house, kukajikuta kunawafanya hawa nao wasijue kama wajifiche ama la.
Tatu wanaendesha operations ni watu wengine, ni mfumo, unaweza ukaua watu wajuu lkn chini na kati watu wanaendelea kupiga kazi.
 
Mapendekezo ya yasiweza hata kufikiliwa wala kujadiliwa
 
Hii kitu niliwaambia wadau kwenye uzi ule wa vita wakabeza. Inasadikiwa hii vita ilitakiwa kudumu kwa masaa 48 tu. Baada ya kuuwawa Ayatollah walitarajia yatokee maandamano kama ya Arab spring na utawala wa kiayattolah uangushwe kupitia Cells zao huko Iran. Matokeo yakaja kinyume. Tuombe wamalize kwa amani hii kitu isijeikasambaa duniani kote.
mkono upigwe tu dunia nzima mbabe ajulikane ulimwengu utulie
 
Makombora karibu 92% ya Iran yanazuiwa na mifumo kama Iron Dome, lakini Iran yenyewe haiwezi kuzuia hata shambulio moja, unaona tofauti au bado?

Hao Handala hawafikii popote mbele ya Israel waliomdukua Ayatollah akiwa anatumia kitochi na wakambamiza ndani ya sekunde 40 tu.

Hilo eneo lililopigwa ni miongoni mwa machache ambayo makombora yaliweza kupenya. Sasa linganisha na Israel, akiamua kulenga target yoyote ndani ya Iran, kuna kizuizi ?

Iran anarusha makombora kwa wingi, Israel anaingia mpaka Tehran na kupiga anapotaka, anamfuata adui sebuleni kwake kabisa sio kumshambulia kwa mbali.

Na hadi leo Iran wanahangaika kupata intel ya kulipiza kisasi kwa viongozi wakubwa wa Israel, wakati Israel anafanya operation ndani ya sekunde chache na anarudia mara kwa mara. Iran walichoweza ni kutumia AI kutengeneza video kuwafariji watu kama wewe eti wamemuua Neta

Hiyo ndiyo intelligence, si kelele, ni matokeo.
Punguza stori za kahawa. Movie za hollywood zimewaharibu kweli vichwa
 
Niliona mahojiano ya kiongozi wa kurdi amesema wao sio bunduki za kukodisha ,wamewakatalia Marekani kujiingiza kwenye mzozo maana Marekani kwa miaka mingi anawatumia bila kupata chochote,na cha zaidi amesema wao sio kundi kwa ajili ya vita ,wao ni kama jamii nyingine ambao wanapigania kuwa na inchi yao (kuna wa kurd zaidi milioni 30 lakini hawana taifa rasmi,)

Pia amesema wameongea na serikali ya irani kutoingilia vita
hao wakurd ni kobazi au?
 
Tunachoangalia ni facts sio nani kasema

Huwezi niambia Iran wana intelejensia kubwa wakati waziri wao wa Intelejensia kabamizwa pamoja na waziri wa ulinzi na wakuu kibao wa baraza la usalama wa taifa.

Mwenye intelejensia kali tunaona anachofanya, kaweza kumlipua kiongozi mkubwa kwa sekunde 40 tu, kaweza kuingilia mawasiliano na kutrack viongozi, n.k.
Intelijensia kali siyo kuua kiongozi ,au lengo la kuanzisha vita siyo kuua ayatollah, maana haisaidii kitu
Leo marekani amekuwa forced kulift sanctions kwa iran
Leo iran anacontrol straight of homurs na marekani na washirika biashara yao kupitia hormurs zimesimama
Leo trump amegeuka kituko duniani nchi washirika wamegoma kumuunga mkono kwa mara ya kwanza yupo vitani peke yake middle east
Leo trump anakuwa forced kusema uongo kila siku akihojiwa kitu ambacho kinaonyesha kapoteza control ya vita na all baits kazishikilia iran,ndio anayeweka conditions za kuendelea au kumaliza vita
Haya nani hapo mwenye akili? Mshindi kwenye vita hii ni mmoja tu, western world walishapima maji hawataki kuaibika ,trump alikurupuka ili kuzima issue za epstein, ila ime backfire na haoni mlango wa kutokea
 
H

Hao ni public figures ni rahisi kuwatrack na kuwamaliza.Pia msimamo wa Ayatolla kukataa kwenda safe house, kukajikuta kunawafanya hawa nao wasijue kama wajifiche ama la.
Tatu wanaendesha operations ni watu wengine, ni mfumo, unaweza ukaua watu wajuu lkn chini na kati watu wanaendelea kupiga kazi.
Halafu iran alijifunza mambo mengi sana kwenye vita ya marekani na iraq, alijua kwa western wanajaribu kuangusha utawala wao
ALitengeneza kitu kinaitwa mosaic style ,hata afe nani iran, utawala hautotetereka and this is what is currently happenning, na trump na netanyahu wamechanganyikiwa maana nothing has changed, f35 ambazo walizani hazigusiki zinatunguliwa kama kawaida
IRan imeendelea kuwa imara na umoja kama mwanzo, sasahivi trump na mwenzake wanaomba vita iishe
 
Hii kitu niliwaambia wadau kwenye uzi ule wa vita wakabeza. Inasadikiwa hii vita ilitakiwa kudumu kwa masaa 48 tu. Baada ya kuuwawa Ayatollah walitarajia yatokee maandamano kama ya Arab spring na utawala wa kiayattolah uangushwe kupitia Cells zao huko Iran. Matokeo yakaja kinyume. Tuombe wamalize kwa amani hii kitu isijeikasambaa duniani kote.
Maandamano yamezimwa baada ya internet blackout sawa na kilichotokea hapa nchini oktoba 29!
Leo ni siku ya 26 hakuna huduma ya internet Iran!.
 
Back
Top Bottom