Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hakuna mtu anependa au kushabikia vita na mauaji ya raia waso na hatia.
Lakini "I am sorry to say", Donald Trump kaamua kuivamia Iran mazima na itakuwa vita itayolazimisha vita ya tatu ya Dunia.
Sote tuombe isitokee hivyo.
Kita nikitaka kufanya maendeleo vita inakuja , naombea vita iishe mapema mzizo usiwe mkubwa na kuenea .
IntelijensiaTunachoangalia ni facts sio nani kasema
Huwezi niambia Iran wana intelejensia kubwa wakati waziri wao wa Intelejensia kabamizwa pamoja na waziri wa ulinzi na wakuu kibao wa baraza la usalama wa taifa.
Mwenye intelejensia kali tunaona anachofanya, kaweza kumlipua kiongozi mkubwa kwa sekunde 40 tu, kaweza kuingilia mawasiliano na kutrack viongozi, n.k.
Ubishi wa kitoto pengine sitaendelea kukujibu.Makombora karibu 92% ya Iran yanazuiwa na mifumo kama Iron Dome, lakini Iran yenyewe haiwezi kuzuia hata shambulio moja, unaona tofauti au bado?
Hao Handala hawafikii popote mbele ya Israel waliomdukua Ayatollah akiwa anatumia kitochi na wakambamiza ndani ya sekunde 40 tu.
Hilo eneo lililopigwa ni miongoni mwa machache ambayo makombora yaliweza kupenya. Sasa linganisha na Israel, akiamua kulenga target yoyote ndani ya Iran, kuna kizuizi ?
Iran anarusha makombora kwa wingi, Israel anaingia mpaka Tehran na kupiga anapotaka, anamfuata adui sebuleni kwake kabisa sio kumshambulia kwa mbali.
Na hadi leo Iran wanahangaika kupata intel ya kulipiza kisasi kwa viongozi wakubwa wa Israel, wakati Israel anafanya operation ndani ya sekunde chache na anarudia mara kwa mara. Iran walichoweza ni kutumia AI kutengeneza video kuwafariji watu kama wewe eti wamemuua Neta
Hiyo ndiyo intelligence, si kelele, ni matokeo.
Hakuna kiongozi aliekuwa akilindwa na makomandoo wabobevu na teknolojia ya hali ya juu Iran kama Ayatollah Khamenei.Ubishi wa kitoto pengine sitaendelea kukujibu.
Ayatollah hakujificha Bali ameuliwa nyumbani kwake, na nyumbani kwake Hana bunker wala ulinzi wowote, anaishi maisha ya kimasikini kama masikini wengine, same kwa hao viongozi wengine, loyality hainunuliwi Bali huja kwa matendo yako, mpaka ukiona mwezi sasa Wairan kwa mamilioni wapo mtaani hayo mapenzi hayakuja hivi hivi, angeuliwa kwenye bunker huko wengi wasingekua loyal. Alishamsema siwezi kaa kwenye bunker Hadi Wairan wote Wawe na uwezo wa kuwa na bunker zao.
Vyombo vyote vya habari vikubwa kuanzia BBC, CNN, vya Uturuki, Al Jazeera, new York times na wengineo kwa pamoja wanakubaliana Tel aviv umeharibiwa vibaya Sana na sasa inaanza kufanania na Gaza, ni mpuuzi pekee anaefikiri Asilimia 92 ya makombora yanakuwa intercepted.
Pia Ndege za USA/Israel haziingii Iran zinaishia Tu Nchi za Jirani ama mpakani, so Far according to Bloomberg Ndege 16 zimelipuliwa nyingi zikiwa Kuwait na Iraq, mpaka F35 imedondoshwa, so is Manowari mbili kubwa za kivita zime retreat,
Anachofanya Israel ni kitu ambacho anakifanya siku zote kuua wanawake, watoto, wazee na watu wasio na hatia, kupiga Shule, Hospitali, vituo vya umeme, viwanja vya mpira etc.
Unafkiri Iran Hana uwezo wa kuua civilian wa kawaida? Anao ila yeye ana target Tu Serikali ya Israel, vita si sifa kuua watu wengi Bali ni kufanikisha objectives zako.
Niliona mahojiano ya kiongozi wa kurdi amesema wao sio bunduki za kukodisha ,wamewakatalia Marekani kujiingiza kwenye mzozo maana Marekani kwa miaka mingi anawatumia bila kupata chochote,na cha zaidi amesema wao sio kundi kwa ajili ya vita ,wao ni kama jamii nyingine ambao wanapigania kuwa na inchi yao (kuna wa kurd zaidi milioni 30 lakini hawana taifa rasmi,)Na kwa nyongeza Iran kwa sasa hakuna Internet (WAN) bali kuna intranet (local LAN), hivyo raia wameruhusiwa kutumia intranet ndani ya Iran na mawasiliano yapo kama kawaida isipokuwa hawana mawasiliano na nje ya Iran.
Pili, baada ya yale mauaji ya mwanzo ya raia na waandamanaji raia wameingia woga mkuu hivyo kushindwa kufanya kampeni yoyote ile ya kuandamana.
Tatu, vile vikosi vya ki-Kurd kule kaskazini vilipewa msaada na CIA ili walianzishe nao wote walishughulikiwa na vikosi vya Iran (Proxies) kulekule kabla hata hawajaanza mambo yao.
Ndo maana waona hali iliyopo kwa sasa.
Umetoka facebookHakuna kiongozi aliekuwa akilindwa na makomandoo wabobevu na teknolojia ya hali ya juu Iran kama Ayatollah Khamenei.
Kwa bahati mbaya vitu hivi havikuwa na uzito wowote kwa ntelejensia na teknolojia za Israel
Na viongozi wengine wamo waziri wa ulinzi, wakuu wa majeshi ya taifa na irgc, mkuu wa baraza la usalama wa taifa, n.k.
Israel ana support kubwa sana ya wananchi wa Iran ukiachana na hawa wanufaika wa utawala, wananchi wa kawaida sio adui zake, wanawapa taarifa Israel kiongozi flani kaenda sehemu flani mlipueni. wana uwezo wa kuingia na kutoka watakavyo Tehran lakini targets zao ni viongozi na mitambo, ikitokea kuna raia wameuawa basi ni cross fire,
Lakini Iran inalenga raia hadi sasa ndio maana hawajaweza kuua kiongozi mkubwa hata moja, wanalenga raia
Vita ya Ukraine na Russia ni ngumu kuliko hii kinachomsaidia Iran ni kupiga wasiohusika Kwa kigezo cha kupiga jambo za marekaniTunachoangalia ni facts sio nani kasema
Huwezi niambia Iran wana intelejensia kubwa wakati waziri wao wa Intelejensia kabamizwa pamoja na waziri wa ulinzi na wakuu kibao wa baraza la usalama wa taifa.
Mwenye intelejensia kali tunaona anachofanya, kaweza kumlipua kiongozi mkubwa kwa sekunde 40 tu, kaweza kuingilia mawasiliano na kutrack viongozi, n.k.
Eti wanafikiria kuwapatia Iran proposal hii na Iran awakubalieHuyu jamaa na Trump wamekuwa kama wehu
Ardhi yako inatumika kuishambulia Iran halafu unajikunyata na kusema hauhusiki! Nani atakuelewa? Ni kichapo tu.kupiga wasiohusika Kwa kigezo cha kupiga jambo za marekani
Hao ni public figures ni rahisi kuwatrack na kuwamaliza.Pia msimamo wa Ayatolla kukataa kwenda safe house, kukajikuta kunawafanya hawa nao wasijue kama wajifiche ama la.Tunachoangalia ni facts sio nani kasema
Huwezi niambia Iran wana intelejensia kubwa wakati waziri wao wa Intelejensia kabamizwa pamoja na waziri wa ulinzi na wakuu kibao wa baraza la usalama wa taifa.
Mwenye intelejensia kali tunaona anachofanya, kaweza kumlipua kiongozi mkubwa kwa sekunde 40 tu, kaweza kuingilia mawasiliano na kutrack viongozi, n.k.
Mapendekezo ya yasiweza hata kufikiliwa wala kujadiliwaEti wanafikiria kuwapatia Iran proposal hii na Iran awakubalie
===
Israel’s Channel 12 has published what its sources claim to be 14 of the 15 demands and proposals the US allegedly conveyed to Iran:
1. Iran must dismantle its existing nuclear capabilities.
2. Iran must commit never to pursue nuclear weapons.
3. There will be no uranium enrichment on Iranian territory.
4. Iran must hand over its stockpile of some 450 kilograms of uranium enriched to 60 percent to the International Atomic Energy Agency in the near future, in a timetable to be agreed.
5. The Natanz, Isfahan and Fordo nuclear facilities must be dismantled.
6. The IAEA, the UN’s nuclear watchdog, must be granted full access, transparency and oversight inside Iran.
7. Iran must abandon its regional proxy “paradigm.”
8. Iran must cease the funding, direction and arming of its regional proxies.
9. The Strait of Hormuz must remain open and function as a free maritime corridor.
10.Iran’s missile program must be limited in both range and quantity, with specific thresholds to be determined at a later stage.
11. Any future use of missiles would be restricted to self-defense.
12. Iran would receive a full lifting of sanctions imposed by the international community.
13. The US would assist Iran in advancing its civilian nuclear program, including electricity generation at the Bushehr nuclear plant.
14. The so-called “snapback” mechanism, which allows for the automatic reimposition of sanctions if Iran fails to comply, would be removed.
pro iran mnachekesha!Iran, chapa hao domokaya!
mkono upigwe tu dunia nzima mbabe ajulikane ulimwengu utulieHii kitu niliwaambia wadau kwenye uzi ule wa vita wakabeza. Inasadikiwa hii vita ilitakiwa kudumu kwa masaa 48 tu. Baada ya kuuwawa Ayatollah walitarajia yatokee maandamano kama ya Arab spring na utawala wa kiayattolah uangushwe kupitia Cells zao huko Iran. Matokeo yakaja kinyume. Tuombe wamalize kwa amani hii kitu isijeikasambaa duniani kote.
Punguza stori za kahawa. Movie za hollywood zimewaharibu kweli vichwaMakombora karibu 92% ya Iran yanazuiwa na mifumo kama Iron Dome, lakini Iran yenyewe haiwezi kuzuia hata shambulio moja, unaona tofauti au bado?
Hao Handala hawafikii popote mbele ya Israel waliomdukua Ayatollah akiwa anatumia kitochi na wakambamiza ndani ya sekunde 40 tu.
Hilo eneo lililopigwa ni miongoni mwa machache ambayo makombora yaliweza kupenya. Sasa linganisha na Israel, akiamua kulenga target yoyote ndani ya Iran, kuna kizuizi ?
Iran anarusha makombora kwa wingi, Israel anaingia mpaka Tehran na kupiga anapotaka, anamfuata adui sebuleni kwake kabisa sio kumshambulia kwa mbali.
Na hadi leo Iran wanahangaika kupata intel ya kulipiza kisasi kwa viongozi wakubwa wa Israel, wakati Israel anafanya operation ndani ya sekunde chache na anarudia mara kwa mara. Iran walichoweza ni kutumia AI kutengeneza video kuwafariji watu kama wewe eti wamemuua Neta
Hiyo ndiyo intelligence, si kelele, ni matokeo.
hao wakurd ni kobazi au?Niliona mahojiano ya kiongozi wa kurdi amesema wao sio bunduki za kukodisha ,wamewakatalia Marekani kujiingiza kwenye mzozo maana Marekani kwa miaka mingi anawatumia bila kupata chochote,na cha zaidi amesema wao sio kundi kwa ajili ya vita ,wao ni kama jamii nyingine ambao wanapigania kuwa na inchi yao (kuna wa kurd zaidi milioni 30 lakini hawana taifa rasmi,)
Pia amesema wameongea na serikali ya irani kutoingilia vita
Intelijensia kali siyo kuua kiongozi ,au lengo la kuanzisha vita siyo kuua ayatollah, maana haisaidii kituTunachoangalia ni facts sio nani kasema
Huwezi niambia Iran wana intelejensia kubwa wakati waziri wao wa Intelejensia kabamizwa pamoja na waziri wa ulinzi na wakuu kibao wa baraza la usalama wa taifa.
Mwenye intelejensia kali tunaona anachofanya, kaweza kumlipua kiongozi mkubwa kwa sekunde 40 tu, kaweza kuingilia mawasiliano na kutrack viongozi, n.k.
Halafu iran alijifunza mambo mengi sana kwenye vita ya marekani na iraq, alijua kwa western wanajaribu kuangusha utawala waoH
Hao ni public figures ni rahisi kuwatrack na kuwamaliza.Pia msimamo wa Ayatolla kukataa kwenda safe house, kukajikuta kunawafanya hawa nao wasijue kama wajifiche ama la.
Tatu wanaendesha operations ni watu wengine, ni mfumo, unaweza ukaua watu wajuu lkn chini na kati watu wanaendelea kupiga kazi.
Maandamano yamezimwa baada ya internet blackout sawa na kilichotokea hapa nchini oktoba 29!Hii kitu niliwaambia wadau kwenye uzi ule wa vita wakabeza. Inasadikiwa hii vita ilitakiwa kudumu kwa masaa 48 tu. Baada ya kuuwawa Ayatollah walitarajia yatokee maandamano kama ya Arab spring na utawala wa kiayattolah uangushwe kupitia Cells zao huko Iran. Matokeo yakaja kinyume. Tuombe wamalize kwa amani hii kitu isijeikasambaa duniani kote.