Awamu ya 5 imekomesha mambo ingekuwa zamani yangefunguliwa bila taarifaFebruary 10, 2020
Bwawa la Mtera lenye uwezo wa kufua umeme megawatts 80 linazidi kujaa maji na hivyo TANESCO huenda wakalazimika kufungulia maji, hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco. Maji yakitoka hapo pia huenda kituo cha Kidatu na kufua umeme mwingine wa Megawatts 204. Hii inatokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwa miezi miwili iliyopita nchini.
Kufuatia hatua hiyo wananchi wa mikoa ya Dodoma, Morogoro na Bonde la Ruaha /Rufiji wametakiwa kuchukua tahadhari maana mkondo wa maji ktk mito ya maji kama Mtera itazidi kujaa katika maeneo yao iwapo bwawa la Mtera litazidi kujaa maji kufikia ukomo wake na kulazimika kufungulia maji.
Maeneo yatakayopata ongezoko la mtiririko wa maji ktk mito na vijito ni wilaya za Mpwapwa, Kilolo, Kilombero, Kilosa na Bonde la Mto Rufiji.
Hivyo wananchi wanaoishi maeneo hayo waendelee kufuatilia taarifa juu ya hali ya Bwawa la Mtera zitakazokuwa zinatolewa na Tanesco kila mara. Mara ya mwisho kufungulia bwawa la Mtera ili kutiririsha maji ya ziada kulifanyika mwaka 2008 hivyo TANESCO ina uzoefu wa kufanya zoezi hili kwa usalama bila kuleta madhara kwa watu waoishi katika mkondo wa maji. Taasisi zingine zote zimetaarifiwa kuhusu tahadhari hiyo. Mwisho wa kumnukuu Mkurugezi Mtendaji wa Tanesco Dr. Tito Mwinuka.
Source: TANESCO Yetu
Sio kwamba wamefunga. Tatizo ni balance kati ya yanayoingia na yanayotoka. Kwa sasa yanayoingia ni mengi kuliko yanayotoka, na wasiwasi unakuwa kama itatokea kukawa na flux kubwa ya maji kuingia kwa wingi kwa kiindi kifupi ukiwa na kiwango kilichopo cha bwawa kujaa. Hivyo lazima uwe na allowance ya huo uwezekano kutokea na kufungulia maji kwa tahadhari.Wafungue mdogo mdogo maji yaendelee kupungua taratibu,kupunguza adha kwa waliokaribu na mto
Kuna watu hamna shukrani...hao mnawasengenya mitandaoni ndio waliomuibia kura huyo bwana wenu hadi akaingia madarakani. Muwe na adabu!Awamu ya 5 imekomesha mambo ingekuwa zamani yangefunguliwa bila taarifa
Upuuzi mtupu.Awamu ya 5 imekomesha mambo ingekuwa zamani yangefunguliwa bila taarifa
Sio kwamba wamefunga. Tatizo ni balance kati ya yanayoingia na yanayotoka. Kwa sasa yanayoingia ni mengi kuliko yanayotoka, na wasiwasi unakuwa kama itatokea kukawa na flux kubwa ya maji kuingia kwa wingi kwa kiindi kifupi ukiwa na kiwango kilichopo cha bwawa kujaa. Hivyo lazima uwe na allowance ya huo uwezekano kutokea na kufungulia maji kwa tahadhari.
Naipenda sana Moro na nadhani ni moja ya mikoa bora sana kuishi nchi hii. Tatizo ni maji/mafuriko.
[/QUOTE Kweli ila mara nyingi morogoro maji yanapita tu
Mkuu maji yasipoenda upande mwingine basi hakutakuwa na maji yanaingia bwawa la Kidatu na wala hakutakuwa na umeme unazalishwa Mtera. Ili uzalishe umeme lazima maji yapite kwenda upande wa pili maana hili sio bwawa la kufugia samaki.
Mkuu Maji yanayozarisha umeme kwa kuzungusha Turbines Yanapita Chini kwa chini kwenda kwenye power House ambayo ipo mbali sana kwenda chini na hapo unapoona bwawa.Mkuu maji yasipoenda upande mwingine basi hakutakuwa na maji yanaingia bwawa la Kidatu na wala hakutakuwa na umeme unazalishwa Mtera. Ili uzalishe umeme lazima maji yapite kwenda upande wa pili maana hili sio bwawa la kufugia samaki.
Mkuu hili ni jibu ulipaswa kumpa Mkuu aliyesema alipita Mtera hakuona maji yakitokea upande wa pili sio mimi!Mkuu Maji yanayozarisha umeme kwa kuzungusha Turbines Yanapita Chini kwa chini kwenda kwenye power House ambayo ipo mbali sana kwenda chini na hapo unapoona bwawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepita mtera juzi, maji hayaendi upande mwingine.
Tena bila sababu ili watengeneze uhaba feki halafu wapige dili kama la IPTL, Escrow, Richmond, Epa, Aggreko, Symbion na Dowans..Awamu ya 5 imekomesha mambo ingekuwa zamani yangefunguliwa bila taarifa
Tena wangetegea kikao cha Bunge kiishe unasikia mwezi wa 8 au Tisa mgao wa umeme maji hakunaTena bila sababu ili watengeneze uhaba feki halafu wapige dili kama la IPTL, Escrow, Richmond, Epa, Aggreko, Symbion na Dowans..