Aya tumesikia.. wacha tuone kama Devil atadumu.. washamaliza kuzima moto?
Hizo meli zingekuwa zinalipuliwa na Israel mngeanfamana sana ila ni waislam wenzenu mmetulia tuli.. sababu yupo Allah hapo kuzuia meli.. ila Dawa ya Allah ipo jikoni
Hahahaha siku za nyuma nilisema hapa Yemen ni kiboka US, UK na ma partner wao in crime, walijidai watamzuia Yemen hapo Red Sea. Kuna waimbaji kwaya wa Paulo alio ota yuko chini ya mti akitokea Damascus wakacheka oh hi Yemen hata JWTZ tutawatandika, JWTZ si atavurugwa siku moja tu na Yemen.Wanaukumbi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Eilat Port: "Operesheni zimesimama kabisa katika Bandari ya Eilat kutokana na meli kushindwa kupita upande wowote kufika bandarini."
View: https://x.com/suppressednws/status/1815004127891423470?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Walio piga pale sio Israel dogo. Israel ni star wa bollywood hana jipya, bora hata Sharukh Khan film zake zinalipa.Aya tumesikia.. wacha tuone kama Devil atadumu.. washamaliza kuzima moto?
Hizo meli zingekuwa zinalipuliwa na Israel mngeanfamana sana ila ni waislam wenzenu mmetulia tuli.. sababu yupo Allah hapo kuzuia meli.. ila Dawa ya Allah ipo jikoni
Hahahaha nakumbuka watu waleta kejeri sana walitushambulia leo hii bandari imebakia kuvua samaki.Hahahaha siku za nyuma nilisema hapa Yemen ni kiboka US, UK na ma partner wao in crime, walijidai watamzuia Yemen hapo Red Sea. Kuna waimbaji kwaya wa Paulo alio ota yuko chini ya mti akitokea Damascus wakacheka oh hi Yemen hata JWTZ tutawatandika, JWTZ si atavurugwa siku moja tu na Yemen.
US mwenyewe kakiri Yemen ni level ingine, kule Tel Aviv watu wanevaa Pampers hawajui sa ngapi vitu vitanza kuland kule.
Poleni wajukuu wa Paulo endeleni kuota mko chini ya mzambarau pale Manyoni π
Nakumbuka sana mkuu, wengine walikuwa wanasema wale wala mirungi watafanya nini πHahahaha nakumbuka watu waleta kejeri sana walitushambulia leo hii bandari imebakia kuvua samaki.