Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Habari za mashoga zinahusiana vipi ?
Kung'amua kama sio ukweli ni swala la mtoa habari
Kwanini alete habari ya kizushi ?
Serikali iwe kilasiku kukanusha uzushi !!!
Unaweza kutoa mfano wa taarifa ya kizushi iliyo wekwa humu!?
 
Kuna Postive na Negativ..kuna baadhi ya yetu humu JF uwa tunachangia hoja kwa evidnce nzito..smtmz polis wanatafuta evdnce ya tukio flani ukiingia JF unakuta member moja ameliongelea lile tukio kiundan zaidi lazima polis watafute evidnce hapa..
*Hatudanganyiki kihivyo mkuu.
*Tafuta njia nyingine ya kutudanganya.
-Mtu akileta ujumbe/uzi huwa lazma aulizwe humu humu na members, kwa faida ya wote inabidi atoemaelezo kujenga hoja yake vizuri.
-Pia unaweza kumfuata PM na akakujibu fresh tu.
 
hivi huwa mnasoma heading na kucoment bila kusoma content au!!? mmeambiwa sababu ni kuwanyima polisi taarifa za memba wa jf pindi zinapotakiwa
unatuuliza kama nani?
kwa taarifa yako umefanyiwa marekebisho......usijifanye mjuaji hapa
 
Kwa hiyo unataka post zote ziwe za kumsifia mkulu kwasababu ndio serikali unataka lkn za kumkosoa no,,!! Basi hakuna haja ya huu mtandao. Mkurungezi komaa nao tu , usitoe siri yoyote na kesi unatashinda.
YANA MWISHO HAYA NA MWISHO WAO UTAKUA AIBU ZAIDI YA JAMMEH WA GAMBIA
 
Wapinzani waliposema sheria inayokuja ni ya kikandamizi hakuna alielewa. Adui yako ni mbunge wa ccm kwani bila wao hizi sheria zisingekuwepo. lkn walipitisha kwa kuhongwa tshs 10m
Tanzania hakupo salama tena
 
Duh..... Kama ndiyo hivyo, hakika Taifa hili linaelekea kubaya.......

It seems that there is no more freedom of expression in our country as per article 18 of The Constitution of United Republic of Tanzania, 1977.

Freedom of expression ndio inawapa watu mamlaka ya kufoji barua yenye nembo ya ikulu ikiwa na sahihi ya msemaji wa ikulu ikielezea utenguzi wa nafasi ya mkuu wa mkoa wa Arusha?

Tofautisha haki ya kujieleza na uchochezi. Hao wanaitwa ni wahalifu. Kama mnataka afungwe mtu aliyefoji cheti cha shule kwanini asifungwe huyo anayefoji barua za ikulu na kuzipost humu.
 
Ndege zilivyonunuliwa, bilioni kumi kwa ajili ya askari magereza bajeti zilipitishwa na bunge lipi?
Hayo yakwako
Mada hapa ni Sheria ya mitandao ilipitishwa kabla ya Magufuli kuwa Rais

Kosa lake ni lipi?
 
Nilijua mapema,Kilio hiki kitakuwa cha kila mtu.Mpaka wale wapaka rangi.Sasa baada ya lema.Max nani anafuata?
 
Hii vita sasa ni kubwa, vita ya kufumbana midomo kila zima. Sijawahi kuliona hili popote pale. Huu ni uonevu na uoga mkubwa unaofanywa na hii serikali. Tupo pamoja
 
Ikosekane, sio kila unalosemwa au kulisikia likufanye ushindwe kutimiza malengo , minadhani JF ifungiwe tu, Facebook , twitter na mitandao yoooote.

Mnatka, tukae kwenye social media tukiongea the same way?!!!! Kwamba tunaipongeza...... Tunampongeza.......... Zombie sie?!!! Yazimwe tu!!!
Dadangu umeongea kwa uchungu sana.Nawapa pole wote mlioguswa na hili.
 
Back
Top Bottom