Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Zakijinga sawa
Lakini ndio hivyo
Mipaka lazima iwepo
Sometimes najiuliza ni mwanaume gani anapenda kusifiwa sifiwa kiasi hiki!! Mimi najua wanawake ndio hupenda kusifiwa sifiwa, hata kama kanenepeana kama Nguruwe bado atataka aambiwe umependeza na wewe ni mzuri, hata kama ni mburula na kilaza hatari atataka asifiwe kua ana akili. Qwi Qwi Qwi...........
 


Mkuu mtu yupo ndani unasema yupo salama, kuna usalama gani hapo,
 
MIMI NAMUOMBEA KWA MUNGU, HIYO KESI ILIYOPO MBELE YAKE AWEZE KUSHINDA...REFERENCE ZA JUDGMENT ZA KESI KAMA HIZI ZIPO UNITED KINGDOM NA USA, HATA UKI GOOGLE TU UTAZIPATA HAKUNA MAHALI POPOTE ETI WAKAWEZA KUSHINDA KESI HII
 
Watumiaji hawako salama.
Max. Atakataa kutoa taarifa kwa muda lakini baadae atashindwa...
Bora kwa wa watumiaji huu mtandao ukawa deactivated kwa muda wa wiki moja then uka flush data zote za members na kuanza upya kuandikisha watumiaji...otherwise wengi wataumizwa kwani wengi wanatumia internet za simu kutumia jamii forum. Akikubali kutoa basi ni watakamatwa wengi ...
 
MIMI NAMUOMBEA KWA MUNGU, HIYO KESI ILIYOPO MBELE YAKE AWEZE KUSHINDA...REFERENCE ZA JUDGMENT ZA KESI KAMA HIZI ZIPO UNITED KINGDOM NA USA, HATA UKI GOOGLE TU UTAZIPATA HAKUNA MAHALI POPOTE ETI WAKAWEZA KUSHINDA KESI HII

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nchi hii mpaka Leo hujaijua ndo maana unataka watu waka google!

Tanzania na Watanzania wenyewe ni Google tosha kabisa!
 
Taarifa zinazotakiwa siyo hizi za kusoma wewe ume coment nini. wanataka kujua kwa mfano huyu mtu anajiita akili tatu ni nani ili wamshughulikie.
 
Anataka kufunga mitandao ya kijamii.atashindwa tu!..
 
Yamekuwa haya?! Mwisho wake ni nini??!!
 
Mungu ampiganie atoke salama soon as possible...

Freedom of speech inapingwa kwa nguvu zote awamu hii

Best kama nakuona vile, kwa mwendo huu tunatoboa kweli? Naona jinsi watu walivyoingia ubaridi. Sipati picha huko jela itakuwaje kwa watu wengi walio humu jukwaani. Chezea kunyoosha nchi kwanza ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…