Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sometimes najiuliza ni mwanaume gani anapenda kusifiwa sifiwa kiasi hiki!! Mimi najua wanawake ndio hupenda kusifiwa sifiwa, hata kama kanenepeana kama Nguruwe bado atataka aambiwe umependeza na wewe ni mzuri, hata kama ni mburula na kilaza hatari atataka asifiwe kua ana akili. Qwi Qwi Qwi...........Zakijinga sawa
Lakini ndio hivyo
Mipaka lazima iwepo
Melo yuko salama..wala hakuna jambo jipya kaitwa kuhojiwa tuu.
Lakini walio sababisha kuitwa kuhojiwa ni wale waleta habari za uzushi ambazo serikali inalazimika kuhangaika kuzikanusha kila leo...
sheria ile ya mitandao ina ipa mamlaka polisi kupata taarifa za mtu kutoka kwa mtu na inawezekana hata kuchukua vifaa husika...
Melo yuko salama salimini.
mchizi huko hawana access ya kumuuamlisha Kevin SystromKama wanaweza si wangeanza kumkamata mmiliki wa instagram anakotambia mange kimambi
Mkurugenzi mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo, ameitwa na baadaye kuwekwa ndani, Central Police.
Polisi wanaeleza muda huu kwamba leo atalala ndani hadi kesho atakapofikishwa mahakamani.
Kosa ni kuwanyima Polisi taarifa binafsi za wateja wa mtandao wa JamiiForums zilipohitajika. Maxence ameendelea kushikilia msimamo kuwa ni uvunjwaji wa sheria na haki za wananchi kufanya hivyo.
Taarifa zaidi baadaye
MIMI NAMUOMBEA KWA MUNGU, HIYO KESI ILIYOPO MBELE YAKE AWEZE KUSHINDA...REFERENCE ZA JUDGMENT ZA KESI KAMA HIZI ZIPO UNITED KINGDOM NA USA, HATA UKI GOOGLE TU UTAZIPATA HAKUNA MAHALI POPOTE ETI WAKAWEZA KUSHINDA KESI HII
Ilipelekwa na nani bungeni?Sheria ya mitandao imepitishwa hata magufuli hafikiliwi kuwa Rais
Mna mlalamikia bure
Taarifa zinazotakiwa siyo hizi za kusoma wewe ume coment nini. wanataka kujua kwa mfano huyu mtu anajiita akili tatu ni nani ili wamshughulikie.kwani hizo taarifa si wanazipata tu hadi wakamsumbue huyo CEO wa Jf? wangetakiwa kujiunga na Jf kisha wakaanza kusoma thread tu ingewasaidia ,mbona mimi napata taarifa zote ,alafu kingine sidhani kama kukamatwa kwa mkuu Maxence kuna husiana na kuminya uhuru wa maoni na kutoa taarifa kama watu wanavyoanza kujishuku humu ndani
umesoma vizuri?kakamatwa bila sababu?
Kwani umefanya/unataka kufanya nini?Wakuu naomba nijuzwe namna ya kupata hifadhi ubalozini ili usishtakiwe na nchi yako kama alivyofanya Julian Asange wa wikileaks?
Uchochezi kivipi?Huu Ni uchochezi totally......unataka kupeperusha ndege wa watu mkuu!
Mungu ampiganie atoke salama soon as possible...
Freedom of speech inapingwa kwa nguvu zote awamu hii