Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Mungu aepushie mbali asije kuwa anasokotwa kwa moja ya post/comment yangu JF.
 
Wewe MOTOCHINI umekazana tu kwamba watu waache Uzushi huo uzushi ni kama upi kwa mfano? Na unang'ng'ania kwamba serikali ndiyo yenye nchi hivyo ikiamua kitu ni lazima kifuatwe. Umewahi kusoma Ibara ya 8 ya Katiba yetu?
Uhuru na mipaka yake

Sheria ya mitandao imepitishwa bungeni
Magufuli hategemewi kuwa Rais
 
Mtu anaandika JF: "Ben Saanane alitaka kutusaliti. Sasa tumemshikisha adabu". Unatategemea polish watafanya nini?
 
Kama nilivyosema huo ni uamuzi wake, lkn najua kwamba ninyi mnaomchochea kesho akihitaji mtu wa kumdhamini mtaanza sababu sijui nasomesha mara mama kalazwa n.k.

Usitake kujifanya ni ushauri unampa wakati ni hivyo anatakiwa kufanya na ww utashukuru kwani ukweli mwingine huwa unawaumiza nyie wapambe kuliko wakuu wenyewe. Mimi naona mpaka sasa ukweli umeshasemwa mwingi na wala sio mwisho. Ninachopinga mimi ni wale wanaotukana, lakini wanaosema ukweli hao hawana shida zaidi ya wanaosemwa kujirekebisha.
 
Hapo penye nyekundu. Yaani serikali kweli ndiyo yenye nchi na sisi niwapangaji? Nafikiri hapa wigo umepanuliwa kupita kiasi. Nilifikiri watanzania ndiyo wenye nchi na serikali imepewa ridhaa ya kuwaongoza tu. Sitasema mengi kwani walengwa hapa ni sisi ........... Pole ndugu MM-ukifuata ushauri huu basi JF itakuwa Serikali Forum na kuelekea kuzimu.
 
hahaha tatizo ccm ilitunyima elimu sasa inatukanyaga inavyotaka
 
Kwa nini tusiwe safe? Tunafanya maovu yepi? Labda wale wanaotukana viongozi
To be honest lizaboni Lino humu jf watu wanatukana viongozi,je wakuu maana ya kupigwa ban ukileta uongo,au matusi humu jf.
Humu nijuavyo tume kuwa Huru kuwajadili na kuwapongeza,kuwakosoa,na kuwapa Moyo pale wanapo tetereka.
Na ndio maana viongozi wengi wanatembelea jf kupata habari mbali mbali hata amabazo hazijaripotiwa kwenye mamlaka husika.
 
Kama sababu ni hiyo, ebu tujiulize nani alikuwa na makosa?
 
Ngojea Nidelete account yangu kwa Muda,,nisije fungwa jiwe nikatoswa baharini bure,,,hali tete sasa,,,,bora miaka mitano ingefika mapema aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…