Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuru na mipaka yakeWewe MOTOCHINI umekazana tu kwamba watu waache Uzushi huo uzushi ni kama upi kwa mfano? Na unang'ng'ania kwamba serikali ndiyo yenye nchi hivyo ikiamua kitu ni lazima kifuatwe. Umewahi kusoma Ibara ya 8 ya Katiba yetu?
Kama nilivyosema huo ni uamuzi wake, lkn najua kwamba ninyi mnaomchochea kesho akihitaji mtu wa kumdhamini mtaanza sababu sijui nasomesha mara mama kalazwa n.k.
Hapo penye nyekundu. Yaani serikali kweli ndiyo yenye nchi na sisi niwapangaji? Nafikiri hapa wigo umepanuliwa kupita kiasi. Nilifikiri watanzania ndiyo wenye nchi na serikali imepewa ridhaa ya kuwaongoza tu. Sitasema mengi kwani walengwa hapa ni sisi ........... Pole ndugu MM-ukifuata ushauri huu basi JF itakuwa Serikali Forum na kuelekea kuzimu.JF ina rensponsibility kubwa sana, kama vivlivyo vyombo vingine vya Habari, kuna mambo mengi ya uongo na uzushi huletwa humu na kuachwa, ikumbukwe kwamba nchi nyingi kama Kenya, Rwanda, Burundi n.k Vita ililetwa na Vyombo vya Habari kama redio na TV, hivyo JF ina jukumu la kulinda amani ya nchi, kama ni kweli amekamatwa, na kama siyo kweli basi wajifunze na wabadilike, watambue jukumu lao kwenye Jamii!
CEO wa JF asipumbazwe na watu wanaosapoti kwenda kinyume na Serikali hapa, wengi wao wana maisha yao na wala hawaishi TZ, na JF ikifa kesho, au ofisi ya JF kunyimwa kibali cha kufanya kazi TZ hawana cha kupoteza, zaidi ya kuhamia kwenye mtandao mwingine na kuendeleza wanayoyafanya, hivyo angalia maisha yako na familia yako, fanya lililo sahihi na jinsi Serikali inavyokutaka kwani mwisho wa siku Serikali ndiyo yenye nchi, watakushauri wanachama wa JF wanavyotaka lkn Serikali ndiyo wasimamizi wa hii nchi!
Hivi hamjaumbwa na aibu japo kidogo? Hata shetani mwenyewe anawaogopa kwa unafki huu.Pole sana kaka Max. Naamini kuwa jambo hili litaenda salama
Aisee huyo kweli, wa kutafuta....tupe ID yake!Mtu anaandika JF: "Ben Saanane alitaka kutusaliti. Sasa tumemshikisha adabu". Unatategemea polish watafanya nini?
hahaha tatizo ccm ilitunyima elimu sasa inatukanyaga inavyotakaHapo penye nyekundu. Yaani serikali kweli ndiyo yenye nchi na sisi niwapangaji? Nafikiri hapa wigo umepanuliwa kupita kiasi. Nilifikiri watanzania ndiyo wenye nchi na serikali imepewa ridhaa ya kuwaongoza tu. Sitasema mengi kwani walengwa hapa ni sisi ........... Pole ndugu MM-ukifuata ushauri huu basi JF itakuwa Serikali Forum na kuelekea kuzimu.
To be honest lizaboni Lino humu jf watu wanatukana viongozi,je wakuu maana ya kupigwa ban ukileta uongo,au matusi humu jf.Kwa nini tusiwe safe? Tunafanya maovu yepi? Labda wale wanaotukana viongozi
We ropoka hvyo usikute ww ni mmoja wa member ambao police wanahitaj taarifa zao. Sasa akizitoa cjui km utaendelea kuropokwa hvyo.Uhuru bila sheria ni utumwa...
Umekariri vibayaView attachment 445715![]()