Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Kwa hiyo leo atalala huko[emoji86]
 
Noma sana !
 
Aiseeee
 
Maxence Melo, Mkurugenzi Mtendaji wa jamiiForums amekamatwa na jeshi la polisi, kituo cha kati Dar.

Polisi wanaeleza kuwa kesho atafikishwa mahakamani kwa kosa la kushindwa kutoa ushirikiano kwa mamlaka.

Ni kuhusu makosa ya mtandao. Polisi wamekuwa wakishinikiza awape majina ya watu wanaowahitaji kutoka mtandao wa jamiiForums.

Kesho atapanda kizimbani.

Taarifa zaidi baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…