Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Vigezo na masharti inabidi kuzingatiwa ili twende na sheria mpya ya magazeti na ile ya mitandao
kusema ukweli humu JF mazombi tupo wengi mno inabidi uongozi ili ujichomoe na kadhia hii ni muhimu wote kuwa verify our names na adress kwa ujumla wake
kama kweli hatuna nia mbaya,
Kama instagram na facebook.
Mkuu ikianza hiyo kitu narudi facebook nikachat, na Jf itapoteza mvuto moja kwa moja kwa style hiyo
 
Mungu wangu![emoji87]
JF sio salama tena...
Mungu ampiganie Max,kwa uwezo wake tutashinda (Mungu)
Fight bro [emoji123].
Nafah msalimie warumi mwambie ndio baasi tena watoto wa siku hizi hawaheshimu wakubwa
 
JF ina rensponsibility kubwa sana, kama vivlivyo vyombo vingine vya Habari, kuna mambo mengi ya uongo na uzushi huletwa humu na kuachwa, ikumbukwe kwamba nchi nyingi kama Kenya, Rwanda, Burundi n.k Vita ililetwa na Vyombo vya Habari kama redio na TV, hivyo JF ina jukumu la kulinda amani ya nchi, kama ni kweli amekamatwa, na kama siyo kweli basi wajifunze na wabadilike, watambue jukumu lao kwenye Jamii!
Mtoto wa kike mie nymaze maaana,
 
Ulishwahi kusema hili kabla? Au umeona mambo yametokea ndo unasema tuache unafiki
 
Mkurugenzi mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo, ameitwa na baadaye kuwekwa ndani, Central Police.

Polisi wanaeleza muda huu kwamba leo atalala ndani hadi kesho atakapofikishwa mahakamani.

Kosa ni kuwanyima Polisi taarifa binafsi za wateja wa mtandao wa JamiiForums zilipohitajika. Maxence ameendelea kushikilia msimamo kuwa ni uvunjwaji wa sheria na haki za wananchi kufanya hivyo.

Taarifa zaidi baadaye

Si JF ilishinda kesi mahakamani sasa amekamatwa ki vipi?
 
Back
Top Bottom