Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Bora kukamatwa kuliko kupotea,tuombeane tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio swala la hata sisi tupo mashakani!!!!!MUNGU TUPIGANIE ...HTA SIS MEMBER HATUPO SALAMA
hakuna linaloshindikana wote huku tumuombee tuu.
Huu utawala ni hatari, kwa hili la sheria ya mtandao jamii haitaweza kumsamehe rais maishani. Na hata weza kumpita Kikwete.Mkurugenzi mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo, ameitwa na baadaye kuwekwa ndani, Central Police.
Polisi wanaeleza muda huu kwamba leo atalala ndani hadi kesho atakapofikishwa mahakamani.
Kosa ni kuwanyima Polisi taarifa binafsi za wateja wa mtandao wa JamiiForums zilipohitajika. Maxence ameendelea kushikilia msimamo kuwa ni uvunjwaji wa sheria na haki za wananchi kufanya hivyo.
Taarifa zaidi baadaye
Mnapendaa sana kutolea mfano rwanda na burundi.vyombo vya habari vinapo sifia watukufu hata kwa mambo yasiyo ya kweli sio tatizo hata kidogo.JF ina rensponsibility kubwa sana, kama vivlivyo vyombo vingine vya Habari, kuna mambo mengi ya uongo na uzushi huletwa humu na kuachwa, ikumbukwe kwamba nchi nyingi kama Kenya, Rwanda, Burundi n.k Vita ililetwa na Vyombo vya Habari kama redio na TV, hivyo JF ina jukumu la kulinda amani ya nchi, kama ni kweli amekamatwa, na kama siyo kweli basi wajifunze na wabadilike, watambue jukumu lao kwenye Jamii!
Ikosekane, sio kila unalosemwa au kulisikia likufanye ushindwe kutimiza malengo , minadhani JF ifungiwe tu, Facebook , twitter na mitandao yoooote.Tunaomba max atoke salama
Lakini member humu muache upuuzi
Mtambue kuna mamlaka ktk taifa.
Na matusi kwa Jk si kwa jpm someni wakati jamani
Mtasababisha tuikose jf hii
Hivi kuvuka mipaka ni kuelezea unachoamini ni sahihi? Uhuru wa kutoa maoni/ mawazo uko wapi?Niliwahi kusema jf hii
Kuna watu wanavuka mipaka
Sasa mzigo anabebeshwa Kipenzi chetu jf !!!.
kakamatwa bila sababu?
Kwa kosa gani?
ametenda kosa gani tena
Kugoma kutoa taarifa za watumiaji wa JFTatizo ni nini.
Mungu ampiganie.
Timu ya Mods itaendelea kuwajulisha kinachoendelea
haguswi wanaosakwa hapa ni wale wanaokosoa sirkali ya oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeHivi mtu kama Lizaboni ambae nae anatumia fake ID humu atakua upande upi