Nadhani kuna technical aspects ambazo inabidi mwenye server akuruhusu! Siyo kama computer ambayo unaweza ku-bypass pass word nadhani!Wameshindwa kuibeba kama walivyofanyaga ya kubenea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani kuna technical aspects ambazo inabidi mwenye server akuruhusu! Siyo kama computer ambayo unaweza ku-bypass pass word nadhani!Wameshindwa kuibeba kama walivyofanyaga ya kubenea.
Naona na wewe unajiongeza kwenye list ya wanao tafutwa teh teh!Huu utawala ni hatari, kwa hili la sheria ya mtandao jamii haitaweza kumsamehe rais maishani. Na hata weza kumpita Kikwete.
Wananchi huwafungi midomo namna hiyo katika karne hii.
Wananchi tujiandae jinsi ya kukabiliana na dhulma hii.
Ushauri, wananchi wote mwaka 2020 tumuondoe kupitia uchaguzi.
Moderator mmoja amesema ni kweli, just search utaonaImepostiwa na mdau ingekuwa ya kutungwa ingeshakanushwa
Na kuna mambo ya kisheria yanazingatiwa hapa
hahahahaHii serikali ya mtukufu aliye tukuka Raisi wa maraisi haijashindwa. infact imeimarisha uchumi na kujenga viwanda, na sasa inanunja ndege kibao ili wananchi muanze kutumia ndege na sio mabasi tena.
Hapana ni kwamba Tatizo linakua siku baada ya siku. Na mbaya zaidi ni kua Wasema ukweli ndio wanao tafutwa na sio watukanaji au wanao weka picha za uchi.tatizo ni kubwa kuliko nlivofikiri...
Hakika kwa sasa hatupo Salama... Taa nyekundu hiyo....Mkurugenzi mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo, ameitwa na baadaye kuwekwa ndani, Central Police.
Polisi wanaeleza muda huu kwamba leo atalala ndani hadi kesho atakapofikishwa mahakamani.
Kosa ni kuwanyima Polisi taarifa binafsi za wateja wa mtandao wa JamiiForums zilipohitajika. Maxence ameendelea kushikilia msimamo kuwa ni uvunjwaji wa sheria na haki za wananchi kufanya hivyo.
Taarifa zaidi baadaye
Ila kuna kesi jf ilishinda kuhusu hii kutoa taarifa sijui nini kiliendeleaga Retiredvijana wenzangu tunaopenda/mnaopebda ku-comment kimuhemuko kuhusu masuala yanayohusu watawala,sasa muanze/tuanze kujitafakari upya.
yaonekana mamlaka inatutafuta sana watukamate ili tufunguliwe mashtaka.
tumshukuru sana maxence melo kwa kushikiria msimamo na tumuombee asibadilike maana na yeye ni binadamu.
vinginevyo saa hii wengine mngekuwa/tungekuwa lupango tunanyea debe.
Mbona kulikua na kesi mahakaman na JF walishinda kwa hizo ishu za polisi kutaka axcess ya database ya jamii forums.Mkurugenzi mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo, ameitwa na baadaye kuwekwa ndani, Central Police.
Polisi wanaeleza muda huu kwamba leo atalala ndani hadi kesho atakapofikishwa mahakamani.
Kosa ni kuwanyima Polisi taarifa binafsi za wateja wa mtandao wa JamiiForums zilipohitajika. Maxence ameendelea kushikilia msimamo kuwa ni uvunjwaji wa sheria na haki za wananchi kufanya hivyo.
Taarifa zaidi baadaye
huyo hawana mamlaka ya kumkamata bali watafunga tu facebook isitumike TZKwa hiyo ipo siku watamkamata pia Mark Zurkeberg?
Sio kila anayetoa mawazo ya tofauti na kupinga ni CHADEMA wewe,wengine ni watu wasio na itikadi yoyote ile.Ns wengi ni CCM.Hawa Chadema wamesababisha hayo yote maana wao ni wazee wa kuongea kila neno wanalojisikia na wala bila heshima wala adabu kwa dola inayotuongoza. Kwa mtindo huu JF itafungwa kwa Sababu ya hilo.