Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

sio swala la hata sababu kisa cha yeye kuwa huko ni member ..... kwahiyo sisi ndo tupo mashakani yeye ni kwavile tu amegoma kuwapatia majina hehehee ngoja nihame id hii kwanza niende ile ingine kiboo
[emoji23] [emoji23] Acha woga!
 
Kimenuka! Sasa ni Mwendo wa comment za kupongeza tu!

Tunaunga Mkono Jitihada za Mh. Rais kwa kukuza Uchumi na kurejesha Uadilifu na nidhamu Serikalini!
Kwa sasa hata neno mheshimiwa litakua halina maana itabidi tuanze kutumia neno Mtukufu aliye tukuka kuliko maraisi na wafalme wote.
 
Melo yuko salama..wala hakuna jambo jipya kaitwa kuhojiwa tuu.
Lakini walio sababisha kuitwa kuhojiwa ni wale waleta habari za uzushi ambazo serikali inalazimika kuhangaika kuzikanusha kila leo...
sheria ile ya mitandao ina ipa mamlaka polisi kupata taarifa za mtu kutoka kwa mtu na inawezekana hata kuchukua vifaa husika...
Melo yuko salama salimini.
umejuaje?
 
Hawa Chadema wamesababisha hayo yote maana wao ni wazee wa kuongea kila neno wanalojisikia na wala bila heshima wala adabu kwa dola inayotuongoza. Kwa mtindo huu JF itafungwa kwa Sababu ya hilo.
nyie ndomnahaki ya kuwa tukana viongozi wachadema kwakuwa hawajashika dola sindio??acha uzwazwa hapa kikubwa kama wana JF tupinge uvamizi huu unaotaka kufanywa na serikali
 
serikali iliyoshindwa hii raisi muoga huyu ,jesh lote alilonalo mpaka lawanao lala juu ya misumari anaogopa kukosolewa poor you..!!
Hii serikali ya mtukufu aliye tukuka Raisi wa maraisi haijashindwa. infact imeimarisha uchumi na kujenga viwanda, na sasa inanunja ndege kibao ili wananchi muanze kutumia ndege na sio mabasi tena.
 
Mungu ampiganie.

Timu ya Mods itaendelea kuwajulisha kinachoendelea

Kesi ya JF na serikali iliisha??Maajabu saba ya ulimwengu.Mpaka tufike 2020 naona jela itabidi ziongezwe,na mahabusu wote ni wamitandao,wezi wa mali za umma wako nje kwa dhamana.Kazi tunayo
 
Kwa sasa hata neno mheshimiwa litakua halina maana itabidi tuanze kutumia neno Mtukufu aliye tukuka kuliko maraisi na wafalme wote.
Yote juu yako
Lakini hoja kubwa ni kuleta habari ya maana na sio kuzusha zusha habari za uongo ili kuchochea watu,
Kamwe haliwezi kubalika
 
Back
Top Bottom