IamHumble
Senior Member
- Dec 4, 2016
- 137
- 42
Jamani mbona ameeleza sababu au umesoma kwa mwendokasi? mnajaza serverkakamatwa bila sababu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mbona ameeleza sababu au umesoma kwa mwendokasi? mnajaza serverkakamatwa bila sababu?
Copy and paste from wapi?Maxence Melo, Mkurugenzi Mtendaji wa jamii forums amekamatwa na jeshi la polisi, kituo cha kati Dar.
Polisi wanaeleza kuwa kesho atafikishwa mahakamani kwa kosa la kushindwa kutoa ushirikiano kwa mamlaka.
Ni kuhusu makosa ya mtandao. Polisi wamekuwa wakishinikiza awape majina ya watu wanaowahitaji kutoka mtandao wa jamii forums.
Kesho atapanda kizimbani.
Taarifa zaidi baadaye.
Niko polisi kati bado.
Copy and paste
Mimi mambo ya kukaa kimya ndo nisiyoyaweza mkuu.Hupaswi kukomenti unapaswa ukae kimya mpka siku atakapo furai
Wakuu tuko pamoja sana .Mungu ampiganie.
Timu ya Mods itaendelea kuwajulisha kinachoendelea
Kwa kweli.Kimenuka! Sasa ni Mwendo wa comment za kupongeza tu!
Tunaunga Mkono Jitihada za Mh. Rais kwa kukuza Uchumi na kurejesha Uadilifu na nidhamu Serikalini!
Tukiisha sisi mtaanza kutafutana ndani ya ccm .Kimenuka! Sasa ni Mwendo wa comment za kupongeza tu!
Tunaunga Mkono Jitihada za Mh. Rais kwa kukuza Uchumi na kurejesha Uadilifu na nidhamu Serikalini!
mama weee ,,,, walikuwa wananitafuta mimi hivyooMkurugenzi mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo, ameitwa na baadaye kuwekwa ndani, Central Police.
Polisi wanaeleza muda huu kwamba leo atalala ndani hadi kesho atakapofikishwa mahakamani.
Kosa ni kuwanyima Polisi taarifa binafsi za wateja wa mtandao wa JamiiForums zilipohitajika. Maxence ameendelea kushikilia msimamo kuwa ni uvunjwaji wa sheria na haki za wananchi kufanya hivyo.
Taarifa zaidi baadaye
Tunatafutwa tukamatwe .jamaa amekataa kutoa taarifa zetu.Tatizo ni nini.