Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

huko na benni hapo ?



swissme
Ni Personal Secretary wa Mzee wangu Mbowe.. Muulize Mbowe hilo swali maana sijamsikia yeye binafsi akimtafuta zaidi ya kula kuku na Lissu Ulaya..

BTW unahoji kimzaha mzaha kama vile tukio la kupotea huyo mtu ni la mzaha mzaha
 
Kuhusu ishu ya iOS

FBI walisaidiwa na kampuni moja ya security, ile simu walichezea hardware ikafunguka..

Hawaku hack server wala nn
Sijui kama ulinielewa vizuri nilichosema. I clearly mentioned ni iOS hapo juu na si sever. And i was wondering hawa wetu server tu imewashinda.
 
Ni Personal Secretary wa Mzee wangu Mbowe.. Muulize Mbowe hilo swali maana sijamsikia yeye binafsi akimtafuta zaidi ya kula kuku na Lissu Ulaya..

BTW unahoji kimzaha mzaha kama vile tukio la kupotea huyo mtu ni la mzaha mzaha

tunawafuatilia mienendo yako.


swissme
 
Kosoa bila ya matusi na lugha za kebehi..

Kwakuwa marais wengine wanatukanwa basi na wetu atukanwe? Basi tukubali na ushoga na usagaji sababu huko marais wanakotukanwa ushoga na usagaji umeruhusiwa..
Umeona Rais Wa wapi ASIE DIKTETA kapanga sheria hii DUNIA?

Eti usikashifu?

Rais anaekataza kukaripiwa na kutusiwa anapokosea NI DIKTETA peke yake.

Acheni Unafiki watanzania.

Hii nchi SIO MALI YA KUGUFULI.
Hicho cheo ni Dhamana tu.

Gaddafi na Saddam leo wako wapi?
 
Itabidi tuwe tunajadili habari za diamond na kiba tu! hizi za siasa ishakua majanga mambo yakuanza kutafutana na kupoteazana mimi sitaki, mtoto Wangu bado mdogo sana she needs me!
 
Tusizunguke mbuyu, leta jambo lolote au tukio lililochochewa na hayo mabandiko.
Let's deal with facts and not fiction.
Haitaji kuona moto ili ujue kuwa kuna tatizo. Moshi tuu pekee unatosha kukupa nafasi ya kujua kuwa kuna tatizo.

Tukubali tuu ukweli kuwa forgery ya aina yoyote ile ni kosa. Kama wafuasi wa chadema walipiga kelele kuwa waliofoji vyeti vya shule wachukuliwe hatua na wengine walifikia hadi hatua ya kumtaka mkuu ahakiki cheti chake sinkwa ajili ya show off bali kwa sababu ua kosa la jinai limetendeka.

Japokuwa lile bandiko linaweza kuwa halikuleta madhara kwa maoni yako lakini kosa lilifanyika tena kosa la jinai. Wanachokitaka polisi kwa hao watu mbona simple sana. Ni ile nembo na sahihi ya msemaji wa ikulu wameitoa wapi?
 
Kosoa bila ya matusi na lugha za kebehi..

Kwakuwa marais wengine wanatukanwa basi na wetu atukanwe? Basi tukubali na ushoga na usagaji sababu huko marais wanakotukanwa ushoga na usagaji umeruhusiwa..
Isome tena comment yako, rudia mara mbili au tatu, kisha waangalie, wanao kama unao su familia yako kama ipo kisha fikiri kuhusu mipango na malengo yako binafsi uliyojiwekea.
Ukisha maliza jiulize mantiki hasa ya ulicho post .
 
Ni wakati sasa wa kukiwekea kifaa changu ukuta wa moto.
 
Mungu ampiganie.

Timu ya Mods itaendelea kuwajulisha kinachoendelea
Poleni sana wakuu! Tunaomba mtujuze kila kinachorndelea, JF ni ya kwetu sote pamoja na waanzilishi wake! Tunapaswa kuonesha umoja wetu
 
Bado watanzania wengi hawajaelewa hii nchi inavyoenda, chagua kukaa kimya au familia na watoto watabaki wanalia
Hilo nalo kwa kweli ni neno ni bora ufunge mdomo na vidole vyako usiandike kuongea kitu chochote hali si Rafiki kwa sasa ndg zngu.[emoji40] [emoji40] [emoji30]
 
I truly love my country, my one and only. The beautiful land of Tanganyika and Zanzibar. Uhuru wetu maendeleo yetu.
Free MELLO.....
 
Kwanza pole sana Muasisi wa JF kwa kuwa under custody be strong as man ndiyo kazi pia.

Pili wana JF kama tungezingatia Kanuni zile 8 zilizowekwa na moderators na Imani kabisa JF ingekuwa the best kwasababu ina members wengi sana ambayo ni mixed.

Kwa sisi tuliojiunga toka miaka hiyo ya 2007 JF ilikuwa haina shida ktk kupashana habari.

Nadhani kwa sheria za Mtandao na ile ya Habari sasa wana JF lazima tujiangalie upya na kutowaingiza waasisi ktk mitihani na state.

Na Imani sheria itafuatwa na haki itatendeka kwa Mr Melo.
 
Sielewi hata unachotaka kusema.. Maadili yetu hayaruhusu hayo unayopigania. Kama kukosoa kosoa kwa staha na ukipenda kosoa kila jambo.. Lakini lugha za kebehi, matusi huku mmejificha kwa ID's feki si jambo jema..
 
Nimeongeza chaji msizime cm zenu c mnajiita wakuu jamaa akitoka ndani anakuja kuwaanika na matusi yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…