certified mdokozi
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 1,403
- 814
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikutaraji hili jibu ila nimeridhika naloudikteta.
swissme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikutaraji hili jibu ila nimeridhika naloudikteta.
swissme
Charty una figure nzuriHumu sio pakujiachia siku hizi zama zimebadilika..! pole Max kwa magumu unayopitia..
Ni Personal Secretary wa Mzee wangu Mbowe.. Muulize Mbowe hilo swali maana sijamsikia yeye binafsi akimtafuta zaidi ya kula kuku na Lissu Ulaya..huko na benni hapo ?
swissme
Sijui kama ulinielewa vizuri nilichosema. I clearly mentioned ni iOS hapo juu na si sever. And i was wondering hawa wetu server tu imewashinda.Kuhusu ishu ya iOS
FBI walisaidiwa na kampuni moja ya security, ile simu walichezea hardware ikafunguka..
Hawaku hack server wala nn
Ni Personal Secretary wa Mzee wangu Mbowe.. Muulize Mbowe hilo swali maana sijamsikia yeye binafsi akimtafuta zaidi ya kula kuku na Lissu Ulaya..
BTW unahoji kimzaha mzaha kama vile tukio la kupotea huyo mtu ni la mzaha mzaha
Umeona Rais Wa wapi ASIE DIKTETA kapanga sheria hii DUNIA?Kosoa bila ya matusi na lugha za kebehi..
Kwakuwa marais wengine wanatukanwa basi na wetu atukanwe? Basi tukubali na ushoga na usagaji sababu huko marais wanakotukanwa ushoga na usagaji umeruhusiwa..
Haitaji kuona moto ili ujue kuwa kuna tatizo. Moshi tuu pekee unatosha kukupa nafasi ya kujua kuwa kuna tatizo.Tusizunguke mbuyu, leta jambo lolote au tukio lililochochewa na hayo mabandiko.
Let's deal with facts and not fiction.
Isome tena comment yako, rudia mara mbili au tatu, kisha waangalie, wanao kama unao su familia yako kama ipo kisha fikiri kuhusu mipango na malengo yako binafsi uliyojiwekea.Kosoa bila ya matusi na lugha za kebehi..
Kwakuwa marais wengine wanatukanwa basi na wetu atukanwe? Basi tukubali na ushoga na usagaji sababu huko marais wanakotukanwa ushoga na usagaji umeruhusiwa..
Poleni sana wakuu! Tunaomba mtujuze kila kinachorndelea, JF ni ya kwetu sote pamoja na waanzilishi wake! Tunapaswa kuonesha umoja wetuMungu ampiganie.
Timu ya Mods itaendelea kuwajulisha kinachoendelea
Taarifa itatolewa kupitia uzi huu?Mungu ampiganie.
Timu ya Mods itaendelea kuwajulisha kinachoendelea
Amekataa kutoa taarifa zako (nje na hiyo ID fake) hasa majina halisi, barua pepe, namba ya cmu, nk.Kakamatwa na kuwekwa ndani kwa sababu gani?
Hilo nalo kwa kweli ni neno ni bora ufunge mdomo na vidole vyako usiandike kuongea kitu chochote hali si Rafiki kwa sasa ndg zngu.[emoji40] [emoji40] [emoji30]Bado watanzania wengi hawajaelewa hii nchi inavyoenda, chagua kukaa kimya au familia na watoto watabaki wanalia
Sielewi hata unachotaka kusema.. Maadili yetu hayaruhusu hayo unayopigania. Kama kukosoa kosoa kwa staha na ukipenda kosoa kila jambo.. Lakini lugha za kebehi, matusi huku mmejificha kwa ID's feki si jambo jema..Umeona Rais Wa wapi ASIE DIKTETA kapanga sheria hii DUNIA?
Eti usikashifu?
Rais anaekataza kukaripiwa na kutusiwa anapokosea NI DIKTETA peke yake.
Acheni Unafiki watanzania.
Hii nchi SIO MALI YA KUGUFULI.
Hicho cheo ni Dhamana tu.
Gaddafi na Saddam leo wako wapi?