Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema hataki ku-retrive mtandao kuweka peupe baadhi ya Ids za wahusika wanazotaka polisi, yeye hataki.kakamatwa bila sababu?
We don't have to copy anything from be it UK or US. Tanzanians we are free thinkers, independent and sovereign state. Rule of the law should always be respected.Hoja yako hapa ni nini?
Kwa hiyo kama kipindi cha JK ilikuwepo basi iendelee kuwepo?
Kwa mantiki yako unataka kusema kwa sababu wakati wa JK kulikuwa na ufisadi basi uachwe uendelee kuwepo. Au kwa sababu kipindi cha JK kulikuwa na watumishi hewa basi waachwe tu waendelee kuwepo.
Unatakiwa uelewe kuwa dunia inabadilika kulingana na mazingira.
Leo hii hata Uingereza wamepitisha sheria ya mitandao ambayo miaka ya nyuma hawakutegemea kama itawezekana lakini kutokana na mazingira, sheria kali imepitisha bila hata kupata upinzani mkubwa bungeni.
Kwa kukusaidia soma hapa;
'Extreme surveillance' becomes UK law with barely a whimper
The Investigatory Powers Act, passed on Thursday, legalises a whole range of tools for snooping and hacking by the security services unmatched by any other country in western Europe or even the US.
US whistleblower Edward Snowden tweeted: “The UK has just legalised the most extreme surveillance in the history of western democracy. It goes further than many autocracies.”
Jim Killock, the executive director of Open Rights Group, said: “The UK now has a surveillance law that is more suited to a dictatorship than a democracy. The state has unprecedented powers to monitor and analyse UK citizens’ communications regardless of whether we are suspected of any criminal activity.”
Renate Samson, the chief executive of Big Brother Watch, said: “The passing of the investigatory powers bill has fundamentally changed the face of surveillance in this country. None of us online are now guaranteed the right to communicate privately and, most importantly, securely.”
Wanasema hataki ku-retrive mtandao kuweka peupe baadhi ya Ids za wahusika wanazotaka polisi, yeye hataki.
Upo sahihi mkuu,Social media hazina tofauti na print and electronic media. Moja kati ya maadili ya uandishi wa habari ni kuto reveal source of your story hasa story zile ambazo mtoa habari ambaye amekupa habari in confidence. Kwa mwandishi mwenye maadili ya uandishi wa habari yuko tayari kufungwa lakini si kureveal source wake. Ninaamini mahakama itapima hiyo habari ambayo mwandishi amekataa kureveal chanzo kama ni ya kweli, sio classified information wala haihatarishi usalama wa nchi. Tunahamu kubwa kujua ni habari gani ambazo polisi walikuwa wanazitaji kujua source ili tuweke mizania kati ya public interest, state interest na individual interest. Tunasubiri
Mungu wangu!! God save !!Aiseeee
Nchemba kamaindi tumemkaba sana ishu ya miili saba mto ruvu.anaona tumemchongea kwa mabosi wake.Amekamatwa kwa ajili yetu tutumie akili ya hali ya juu kidogo kusoma mchezo huu ni mwendelezo wakutuzima midomo
Waandishi wa habari?Tuliwaambia... Akimaliza wanasiasa ataamia kwenu.
Usidhani sisi wote ni mang'ombe wa Chama Cha Majizi tunaosubiri kudumisha fikra za MwenyekitiHoja yako hapa ni nini?
Kwa hiyo kama kipindi cha JK ilikuwepo basi iendelee kuwepo?
Kwa mantiki yako unataka kusema kwa sababu wakati wa JK kulikuwa na ufisadi basi uachwe uendelee kuwepo. Au kwa sababu kipindi cha JK kulikuwa na watumishi hewa basi waachwe tu waendelee kuwepo.
Unatakiwa uelewe kuwa dunia inabadilika kulingana na mazingira.
Leo hii hata Uingereza wamepitisha sheria ya mitandao ambayo miaka ya nyuma hawakutegemea kama itawezekana lakini kutokana na mazingira, sheria kali imepitisha bila hata kupata upinzani mkubwa bungeni.
Kwa kukusaidia soma hapa;
'Extreme surveillance' becomes UK law with barely a whimper
The Investigatory Powers Act, passed on Thursday, legalises a whole range of tools for snooping and hacking by the security services unmatched by any other country in western Europe or even the US.
US whistleblower Edward Snowden tweeted: “The UK has just legalised the most extreme surveillance in the history of western democracy. It goes further than many autocracies.”
Jim Killock, the executive director of Open Rights Group, said: “The UK now has a surveillance law that is more suited to a dictatorship than a democracy. The state has unprecedented powers to monitor and analyse UK citizens’ communications regardless of whether we are suspected of any criminal activity.”
Renate Samson, the chief executive of Big Brother Watch, said: “The passing of the investigatory powers bill has fundamentally changed the face of surveillance in this country. None of us online are now guaranteed the right to communicate privately and, most importantly, securely.”
Kama ulishawahi Ku idiss ccm.na serikali yake jiandae jomba.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]polisi wamnataka wajue majina yetu halisi na namba za simu?