Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

WI-FI si salama devices zote ambazo zimeunganishwa hapo kwenye network physical addresses zake zote zinaonekana server ama mtu anahost hiyo internet anayoshea.
Imagine mtu anaisho kenye lenye watu au apartments 20 na wifi ni moja watakamata watu wapangaji wote?
 
Upo sahihi mkuu,
Hakuna ulazima wa ku disclose source of information.

Unless kama ulivyosema ila tatizo kubwa hapa polisi watahitaji sana mambo ya kisiasa kuliko sheria inavyotaka.

Tunahitaji kesho afikishwe mahakamani tufahamu wanatumia sheria ipi kulazimisha mmliki wa chombo cha habari kutoa source.
[emoji116]
 

Attachments

  • tapatalk_1481632605422.png
    tapatalk_1481632605422.png
    70.4 KB · Views: 34
  • tapatalk_1481632600265.png
    tapatalk_1481632600265.png
    130.6 KB · Views: 28
  • tapatalk_1481632564006.png
    tapatalk_1481632564006.png
    44.3 KB · Views: 33
  • tapatalk_1481632516605.png
    tapatalk_1481632516605.png
    119.7 KB · Views: 31
Mi sasa hivo niko uwanja wa ndege nahamia Brunei ctaki tena nawaachia nchi yenu
 
Ingekuwa rahisi kihivyo hii Dunia isingekuwa jinsi ilivyo, watu walimuua Yesu miaka 2000 iliyopita mpaka leo hii bado tunasubiri hukumu yao ...
We bado unasubili hukumu yao? Walishapewa hukumu hao.
1: wote walishafariki dunia
2: wote hatauwona ufalme wa mungu
Wewe unafikiri ni kwann jammeh anakataa kuachia madaraka? Anaogpa kufukuliwa kwa makaburi
 
ametenda kosa gani tena
kosa lake ni kunyima taarifa kwa dola sheria mpya inalazimisha waandish kuandika habar zenye muelekeo utakaolekezwa na dola na kwa atakaekataa kutoa taarifa atakua hatian bas conect dot kukamatwa kwa ben sananane member wa jf na kukamatwa kwa max
 
Kabisa mkuu.
Taarifa zaidi tuzipate, watu wajue kabisa kuhusu privacy na JF.
Pia itasaidia watu kujua binafsi nini cha kufanya pamoja aina ya comment na post ziwe vipi, msipotujulisha mtakuwa mnatunyima haki sisi members wa Jf.
Hali ya hewa braza siunaiona, we ikiitwa asbh wasalimie wenzio, mchana hivo hivo na usiku unawatakia ucku mwema utakua salama vinginevyo utafungwa bure.
 
Vp mabando yameisha mbona kimya maana kila sekunde nilikuwa nikipokea comments
 
Unaelewa kinachoendelea lakini wewe?
Naelewa vizuri sana kinachoendelea humu kwenye mitandao na naelewa wanachokifanya serikali,sasa ndiyo tuseme nchi haipo salama?

Au wewe hili neno la nchi haipo salaama unalichukuliaje?
 
Kwa nini tulihoji mahali alipo saa8 Na zile maiti 7 na kubana sana kwa maswali magumu aliyojibu mheshimiwa kwa wepesi.. Nchi nahama soon
 
Nashukuru kwa kukubali kwako kuwa hao raia wanaosakwa ni waliotoa habari za uzushi. Kwahiyo kwa mtazamo wako kuwa serikali iache kushughulika na wote wanaofanya makosa ya jinai kisa kuna wengine wanafanya na hawachukuliwi hatua za kisheria. Jaribu kujua umuhimu wa Law and Order then maybe utapata mwanga wa hiki kinachozungumziwa humu
Sasa dhana ya "rule of law" ina maana gani?
Na uzushi anaweza kujaji kwamba huu ni uzushi ni nani?
Hii serikali silijinasibu kwamba niya wanyonge, kwann wa kubwa wanaachwa , wadogo wanasakwa?
 
We bado unasubili hukumu yao? Walishapewa hukumu hao.
1: wote walishafariki dunia
2: wote hatauwona ufalme wa mungu
Wewe unafikiri ni kwann jammeh anakataa kuachia madaraka? Anaogpa kufukuliwa kwa makaburi


Kama ni hivvyo unavyoamini basi haujauelewa Ukristo, Yesu alisema siku ya mwisho nitarudi kuwahukumu wazima na wafu, hivyo kwa mujibu wa Yesu na mafundisho ya Kikristo bado tunasubiri hukumu yao/yetu!
 
Afsa nyie ndo mnaotafutwa maneno gani hayo shauri yako hujui hata majirs na nyakati
 
Huu sasa uonevu, wanashindwa kuwakamata wamiliki wa sites za ngono wanamkamata anayewapa uwanda wa kukusanya taarifa? Poot Tz
 
Back
Top Bottom