Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imagine mtu anaisho kenye lenye watu au apartments 20 na wifi ni moja watakamata watu wapangaji wote?WI-FI si salama devices zote ambazo zimeunganishwa hapo kwenye network physical addresses zake zote zinaonekana server ama mtu anahost hiyo internet anayoshea.
Okey akomaeWanasema hataki ku-retrive mtandao kuweka peupe baadhi ya Ids za wahusika wanazotaka polisi, yeye hataki.
[emoji116]Upo sahihi mkuu,
Hakuna ulazima wa ku disclose source of information.
Unless kama ulivyosema ila tatizo kubwa hapa polisi watahitaji sana mambo ya kisiasa kuliko sheria inavyotaka.
Tunahitaji kesho afikishwe mahakamani tufahamu wanatumia sheria ipi kulazimisha mmliki wa chombo cha habari kutoa source.
We bado unasubili hukumu yao? Walishapewa hukumu hao.Ingekuwa rahisi kihivyo hii Dunia isingekuwa jinsi ilivyo, watu walimuua Yesu miaka 2000 iliyopita mpaka leo hii bado tunasubiri hukumu yao ...
kosa lake ni kunyima taarifa kwa dola sheria mpya inalazimisha waandish kuandika habar zenye muelekeo utakaolekezwa na dola na kwa atakaekataa kutoa taarifa atakua hatian bas conect dot kukamatwa kwa ben sananane member wa jf na kukamatwa kwa maxametenda kosa gani tena
Hali ya hewa braza siunaiona, we ikiitwa asbh wasalimie wenzio, mchana hivo hivo na usiku unawatakia ucku mwema utakua salama vinginevyo utafungwa bure.Kabisa mkuu.
Taarifa zaidi tuzipate, watu wajue kabisa kuhusu privacy na JF.
Pia itasaidia watu kujua binafsi nini cha kufanya pamoja aina ya comment na post ziwe vipi, msipotujulisha mtakuwa mnatunyima haki sisi members wa Jf.
Naelewa vizuri sana kinachoendelea humu kwenye mitandao na naelewa wanachokifanya serikali,sasa ndiyo tuseme nchi haipo salama?Unaelewa kinachoendelea lakini wewe?
Sasa dhana ya "rule of law" ina maana gani?Nashukuru kwa kukubali kwako kuwa hao raia wanaosakwa ni waliotoa habari za uzushi. Kwahiyo kwa mtazamo wako kuwa serikali iache kushughulika na wote wanaofanya makosa ya jinai kisa kuna wengine wanafanya na hawachukuliwi hatua za kisheria. Jaribu kujua umuhimu wa Law and Order then maybe utapata mwanga wa hiki kinachozungumziwa humu
We bado unasubili hukumu yao? Walishapewa hukumu hao.
1: wote walishafariki dunia
2: wote hatauwona ufalme wa mungu
Wewe unafikiri ni kwann jammeh anakataa kuachia madaraka? Anaogpa kufukuliwa kwa makaburi
Kwa nini tulihoji mahali alipo saa8 Na zile maiti 7 na kubana sana kwa maswali magumu aliyojibu mheshimiwa kwa wepesi.. Nchi nahama soon